Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

View attachment 491615View attachment 491616 unafahamu kitu kinaitwa Sex lust? Ushawahi kufanya ngono bila matamanio? Hapa ni jambo la kihisia zaidi, doing something without feeling it.... Je inawezekana?
Tahadhari niliyotoa ni pale imani za kishetani wanapoitumia Sex meditation kama sehemu ya ibada zao angalia picha naamini hutaona mkaa tena
mmmh hilo lenye mapembe kama kichwa cha ng'ombe nimezoea kuliona kwenye video nyingi za Rihana!
Sijui huwa yana maana gani......
 
Kuna vitu nimechukua kwa matumizi ya baadae. Thanks
Itakuwa hii.
being-deeply-loved-by-someone-gives-us-tantra-meditation-2228011-1-1-jpg.491601
 
m
Nimesita kwa muda kuweka hii mada lakini usiku huu baada ya meditation nimejikuta navutika kuiweka hapa lakini vilevile nikitimiza ahadi ya mdau Ms mol
Kwanza ni lazima tutambue kuwa ngono na tahajudi ni vitu vya kihisia zaidi kiroho zaidi kupitia jumbamwili linalowaka tamaa
Tahajudi(meditation) ni somo moja pana sana lenye mazuri mengi na mabaya mengi
Tahajudi inatumiwa na :
Matapeli
Wafanya mazingaombwe
Wanasiasa
Wafanyabiashara
Wanazuoni
Washika dini (mitume na manabii)
Waabudu sanamu na nguvu za giza kama imani za kishetani nk
Wote tunajua nguvu ya ngono na hii ndio dhambi ya asili, Adamu aliangukia hapa, Samsoni wa Delila hapa hapa, mfalme Suleimani na hekima zake alikuwa na wake mia tatu na masuria idadi hiyo hiyo (hapa King Mswati anasubiri sana)
Ngono imewaangusha wengi sana kuanzia washika dini, viongozi mbalimbali mpaka watu wa kawaida kabisa
Tahajudi inatumiwa na kutumika vibaya na watu wenye agenda za siri, agenda za kukidhi tamaa zao za mwili kwa jina la tahajudi
Kuna wenye kumaanisha lakini ni wachache mno, wengi wanaofanya sexual meditation ni wale wa imani za kishetani bila kujitambulisha wazi, lakini pia ndani ya ibada za kishetani, ngono ni kipengele kimoja muhimu sana.... Nimehudhuria nimeona
Najua Wengi wana munkari wa kutaka kufanya meditation, lakini ni vema sana ukawa makini na kile unachotarajia ama kutaka kufanya,....
Mambo mengi siku hizi yamefanyiwa kolabo.... Jihadhari sana unapojifunza hizi elimu ngeni

Alamsiki

Jr.!
8d360ad30bcff26152135b63c50d57d5.jpg
Mshana leo ametuacha holaaa...njia panda
 
Inamaana hapo majini mahaba huja kujiunga kwenye show wapige three sum au?
Je hata kama watendaji hawajanuia kufanya hilo zoezi kwa ajili ya ibada yeyote ile ya kishetani bali zoezi tu bado linakuwa la kishetani?
 
Thanks nimerejea na asante kwa ufafanuzi
Kimsingi Sex meditation haina tofauti na ile ya chakula, kwamba unakula kwa ajili ya faida ya kujenga mwili wenye afya, kwahiyo hapaswi kuchagua vyakula kisa LADHA
tuna tabia ya kula chakula kingi chenye ladha nzuri au kitamu na kula kidogo kile KILICHOPIKWA vibaya.. Haya ni matamanio ya mwili tu kupitia ulimi, lakini tumbi wala mwili haubagui.... Tunatakiwa kukichukulia chakula kama dawa na tiba ya njaa na sivinginevyo
Vipi kuhusu ngono? Kuna watu ni wagonjwa wa ngono wako so attached so obssessed ukimnyima kufanya ngono wiki umemtesa sana
Je unaweza kufanya ngono kama njia tu ya kupunguza manii mwilini ama kwa lengo la kuongeza uumbaji? Bila zile hisia?
Upo sahihi lakini hii yote ni kutokana na kushindwa Ku control hisia zetu na hapo ndipo shetani anapata nafasi na kutawala ndio maana ili uwe enlightened inabidi uwe na uwezo wa kutumia vizuri sex and sleep hapo utaweza kurudi kwenye uasilia (original nature)

Sex and sleep are so vital to your nature, they are like shakti and Shiva hidden in plainsight....

mshana jr are you enlightened?
 
Nimesita kwa muda kuweka hii mada lakini usiku huu baada ya meditation nimejikuta navutika kuiweka hapa lakini vilevile nikitimiza ahadi ya mdau Ms mol
Kwanza ni lazima tutambue kuwa ngono na tahajudi ni vitu vya kihisia zaidi kiroho zaidi kupitia jumbamwili linalowaka tamaa
Tahajudi(meditation) ni somo moja pana sana lenye mazuri mengi na mabaya mengi
Tahajudi inatumiwa na :
Matapeli
Wafanya mazingaombwe
Wanasiasa
Wafanyabiashara
Wanazuoni
Washika dini (mitume na manabii)
Waabudu sanamu na nguvu za giza kama imani za kishetani nk
Wote tunajua nguvu ya ngono na hii ndio dhambi ya asili, Adamu aliangukia hapa, Samsoni wa Delila hapa hapa, mfalme Suleimani na hekima zake alikuwa na wake mia tatu na masuria idadi hiyo hiyo (hapa King Mswati anasubiri sana)
Ngono imewaangusha wengi sana kuanzia washika dini, viongozi mbalimbali mpaka watu wa kawaida kabisa
Tahajudi inatumiwa na kutumika vibaya na watu wenye agenda za siri, agenda za kukidhi tamaa zao za mwili kwa jina la tahajudi
Kuna wenye kumaanisha lakini ni wachache mno, wengi wanaofanya sexual meditation ni wale wa imani za kishetani bila kujitambulisha wazi, lakini pia ndani ya ibada za kishetani, ngono ni kipengele kimoja muhimu sana.... Nimehudhuria nimeona
Najua Wengi wana munkari wa kutaka kufanya meditation, lakini ni vema sana ukawa makini na kile unachotarajia ama kutaka kufanya,....
Mambo mengi siku hizi yamefanyiwa kolabo.... Jihadhari sana unapojifunza hizi elimu ngeni

Alamsiki

Jr.!
8d360ad30bcff26152135b63c50d57d5.jpg

Mshana Jr. Tahajudi ni kitu gani na kinafanyika namna gani?
 
Samahani, napenda kuweka sawa kipengele kimoja.Adamu hakuanguka kwa dhambi ya uzinzi.
Note : 1.Je, shetani ndiye aliyekuwa wa kwanza kumfundisha hawa ngono?, maana tunasoma kwamba shetani ndiye akiyemchomekea kuhusu ule mti na tunda lake.
2.Kama mti ule uliotajwa ni fumbo, yaani si mti bali tendo, je, vipi ile miti mingine iliyotajwa katika sura ya 1-3 katika kitabu cha Mwanzo inamaanisha pia ni lugha ya picha pia? Kama ndiyo ni picha gani?
3.Amri ya kwamba waje duniani wazaliane na kuongezeka na tukio la kula tunda kipi kilianza?, kama amri ya kuzaliana na kuongezeka ndiyo ilikuwa ya kwanza ,unaweza eleza njia ambayo ingetumika tofauti na hii ya kukutana kimwili?
3.Hawa kawa mke wa Adamu baada au kabla ya kuasi? Na kama kabla je, neno mke huoni kuwa linatoa uhalali wa kuingiliana kimwili?.
Ujumbe wako mzuri ila unapotaka kuingiza Biblical events kuwa makini usikubali kuishi kwa mazoea kwenye Neno la Mungu.
 
Dah nimeambulia patupu hizi meditation hata sizijui
 
Nimesita kwa muda kuweka hii mada lakini usiku huu baada ya meditation nimejikuta navutika kuiweka hapa lakini vilevile nikitimiza ahadi ya mdau Ms mol
Kwanza ni lazima tutambue kuwa ngono na tahajudi ni vitu vya kihisia zaidi kiroho zaidi kupitia jumbamwili linalowaka tamaa
Tahajudi(meditation) ni somo moja pana sana lenye mazuri mengi na mabaya mengi
Tahajudi inatumiwa na :
Matapeli
Wafanya mazingaombwe
Wanasiasa
Wafanyabiashara
Wanazuoni
Washika dini (mitume na manabii)
Waabudu sanamu na nguvu za giza kama imani za kishetani nk
Wote tunajua nguvu ya ngono na hii ndio dhambi ya asili, Adamu aliangukia hapa, Samsoni wa Delila hapa hapa, mfalme Suleimani na hekima zake alikuwa na wake mia tatu na masuria idadi hiyo hiyo (hapa King Mswati anasubiri sana)
Ngono imewaangusha wengi sana kuanzia washika dini, viongozi mbalimbali mpaka watu wa kawaida kabisa
Tahajudi inatumiwa na kutumika vibaya na watu wenye agenda za siri, agenda za kukidhi tamaa zao za mwili kwa jina la tahajudi
Kuna wenye kumaanisha lakini ni wachache mno, wengi wanaofanya sexual meditation ni wale wa imani za kishetani bila kujitambulisha wazi, lakini pia ndani ya ibada za kishetani, ngono ni kipengele kimoja muhimu sana.... Nimehudhuria nimeona
Najua Wengi wana munkari wa kutaka kufanya meditation, lakini ni vema sana ukawa makini na kile unachotarajia ama kutaka kufanya,....
Mambo mengi siku hizi yamefanyiwa kolabo.... Jihadhari sana unapojifunza hizi elimu ngeni

Alamsiki

Jr.!
8d360ad30bcff26152135b63c50d57d5.jpg
Adam hakuanguka kutokana na zinaa/ushawishi kingono, hayupo ktk kundi ulo muweka.
 
Upo sahihi lakini hii yote ni kutokana na kushindwa Ku control hisia zetu na hapo ndipo shetani anapata nafasi na kutawala ndio maana ili uwe enlightened inabidi uwe na uwezo wa kutumia vizuri sex and sleep hapo utaweza kurudi kwenye uasilia (original nature)

Sex and sleep are so vital to your nature, they are like shakti and Shiva hidden in plainsight....

mshana jr are you enlightened?
Thanks am on the path to self cultivation.. You made a Wonderful point[emoji120] [emoji817] [emoji111] [emoji115]
 
Back
Top Bottom