Naona kagusa imani za watu.Mshana leo umechemka, Adam hakufanya dhambi ya kuzini ndugu yangu. Kuwa makini na maandiko yako.
Masharti mengi lakin yanaweza kutimizika!?Zipo kwa uchache na masharti mengi sana
Tatizo ni kwamba pombe yenyewe haijui na wala hajawahi kuisikia, sasa atataka aijue na pia aijaribu ili athibitishe kama usemayo ni kweli ama si kweli. Binadamu ni wadadisi. Sijui kama unanielewa Mshana.Ukitaka kumwambia mtu pombe ni mbaya itabidi uthibitishe kwa vitendo ili achague moja
Huwa nazikwepa kwepa mada zake kwakuwa mara nyingi zinahusu mambo ya kuogofya. Kasemaje kwa kifupi tuSasa Mshara ndo unataka kutufundisha hiyo ibada ya shetani ama? Maana kwa kusoma comments wengi wetu tulikuwa hatujui kama kuna kitu kama hicho. Sasa tunataka kujua ni nini na tukishajua naamini wengi wataanza kufanya.
Ni kama vile yeye ni wakala wa Sex Meditation Institution. Anatutangazia kitu ambacho naamini wengi ndio mara ya kwanza kukisikia kwake, binadamu tulivyowadadisi tutataka kukifanyia majaribio. Anatuingiza kwenye dhambi huyu..Huwa nazikwepa kwepa mada zake kwakuwa mara nyingi zinahusu mambo ya kuogofya. Kasemaje kwa kifupi tu
Duuh! Na tunavyopendelea mambo ya kutiana si ni balaa hilo!?Ni kama vile yeye ni wakala wa Sex Meditation Institution. Anatutangazia kitu ambacho naamini wengi ndio mara ya kwanza kukisikia kwake, binadamu tulivyowadadisi tutataka kukifanyia majaribio. Anatuingiza kwenye dhambi huyu..
Kasome vizuri hapo kwa Selemani.Suleimani na hekima zake alikuwa na wake mia tatu na masuria idadi hiyo hiyo (hapa King Mswati anasubiri sana)
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Ni kama vile yeye ni wakala wa Sex Meditation Institution. Anatutangazia kitu ambacho naamini wengi ndio mara ya kwanza kukisikia kwake, binadamu tulivyowadadisi tutataka kukifanyia majaribio. Anatuingiza kwenye dhambi huyu..
Mimi sijui mkuu, hizo nadharia za imani za dini huwa hazina mashiko kwangu, napenelea scientific evidence.Ok alifanya dhambi gani?
Si nimeona wakifanya arguments hapo? Ndio nikauliza...Mhh sasa ulijuaje kama nimeingilia imani za watu? [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]