Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

Usidanganyike! Sex meditation ni ibada za kishetani

Mshana wewe ni moja ya watu wakituma nondo huwa navuta popcorn ila leo nimefatilia hadi page ya 9 nimegundua haya:
-Mkuu hukujipanga maana umeanza na assumption kama kuna mtu anayejua meditation hiyo ya sex ,UKWELI hakuna aliekuelewa hata kidogo ,mfano mi ndo naiskia leo .
-Pili umekuwa na majibu rahisi yaliyopelekea wengi tuamue kujiondoa kwa kudhani labda ni maarifa ya juu hatujayafikia
Akhsante

Umesema ni assumption
Umesema sijajipanga
Umesema ndio unaisikia leo
Umesema watu hawajanielewa
Nimeshindwa kujua lipi hasa ni sahihi
Lakini Kumbuka pia.. Nimekuwa na mada nyingi za meditation katika kunyambulisha misingi mpaka aina zake..... Mada zingine nilizoandika kuhusu meditation hizi hapa
meditation in your daily routine
meditation: utajuaje unafanya kwa usahihi?
meditation ngumu kuliko zote ni ile ya kifo
Hivyo mada hii ilikuwa ni mwendelezo wa mada za meditation na sikuandika assumption kama ulivyo tafsiri kwa mtazamo wako
 
mkuu ukiwekaga yale mabandiko ya umbea na stories za uswazi huwa nakuelewa zaidi. tofauti na hapo hapana! unatulisha matango pori!
 
Hivi wale wanaume wanaokaa mahali mida ya jioni kuangalia wadada warembo wanapita na vinguo nguo vyao vya mitego huku wakiwatamani mpaka wanapata mfadhaiko wa kiutu uzima si wanakuwa wamefanya hii sexual meditation??

Vipi kwa wale wanaojichua???
Hiyo tabia hapa mtaani kwetu huwa tunaita kwenda mbugani kuangalia wanyama.
 
Umesema ni assumption
Umesema sijajipanga
Umesema ndio unaisikia leo
Umesema watu hawajanielewa
Nimeshindwa kujua lipi hasa ni sahihi
Lakini Kumbuka pia.. Nimekuwa na mada nyingi za meditation katika kunyambulisha misingi mpaka aina zake..... Mada zingine nilizoandika kuhusu meditation hizi hapa
meditation in your daily routine
meditation: utajuaje unafanya kwa usahihi?
meditation ngumu kuliko zote ni ile ya kifo
Hivyo mada hii ilikuwa ni mwendelezo wa mada za meditation na sikuandika assumption kama ulivyo tafsiri kwa mtazamo wako
Swala la kuwa maarifa yako ni noma hilo halina mjadala ,nia yangu ni kukulekebisha unapotema nyuki wengi ndo hatujui kitu ni vema ukaanza na uji kisha ndo utupe ugali na maharage ,anyway mkuu leo nimetoka kapa
 
Ufahamu wa kitu huanza na kutokufahamu... Usipouruhusu ubongo wako ufahamu hutakaa ufahamu
Kama sex meditation ulikuwa huifahamu haina maana kuwa ni fix... Sasa kutaka kuifahamu ni utashi binafsi
 
Sasa Mshara ndo unataka kutufundisha hiyo ibada ya shetani ama? Maana kwa kusoma comments wengi wetu tulikuwa hatujui kama kuna kitu kama hicho. Sasa tunataka kujua ni nini na tukishajua naamini wengi wataanza kufanya.
 
Samahani kwa kutoka nje ya mada ila naomba nikuulize Mshana Jr je ni kuna ukweli kuhusu pesa za majini na zingine za mtindo huo!?
 
Du!! Hapa nimeongeza maufundi ya kugegedana mchangani!! Nahisi inakuwa poa sana!! Unaplace scrub inside then unafumba macho kimyaaa ukiwaza mengine kabisaaaaa!! Three hours kitu ndani yake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa Mshara ndo unataka kutufundisha hiyo ibada ya shetani ama? Maana kwa kusoma comments wengi wetu tulikuwa hatujui kama kuna kitu kama hicho. Sasa tunataka kujua ni nini na tukishajua naamini wengi wataanza kufanya.
Ukitaka kumwambia mtu pombe ni mbaya itabidi uthibitishe kwa vitendo ili achague moja
 
Back
Top Bottom