Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Mkuu unaongea utadhani huyo Mungu umeshawi kumuona yani!!Tambueni Siri hii,
Donald Trump ni mtumishi wa Mungu,
Donald Trump ni Nabii wa Mungu.
Ukidhani Nabii ni Hadi asimame madhabahuni unakosea, Daudi alikuwa Mfalme na Nabii wa Mungu wakati huo huo.