Usidanganyike, vita kuu ya tatu ya dunia haitakuja kwa mfumo huu, bali mfumo wa kidini

Salaam, Shalom!!

Mikwara ni mingi duniani Kwa sasa, mashariki, magharibi,........,.....

Vita itakayokuja Dunia nzima ni ya mfumo wa kiimani, ni vita ya wamwaminio Yesu vs Wasiomwamini...........
Kwahiyo hàkuna vita kuu ya tatu labda tuseme yà wamwaminio Allah vs wasiomwamini...
Au hii haipo?
 
Jina la Allah, lile Jina la 100 usilolijua ni lipi?

Tukilijua Jina la Allah, tutaweza kumtofautisha na miungu mwingine ikiwa Yeye ndiye Mungu mkuu.
 
Hakuna vita ya kidini. Vita vyote chanzo chake ni siasa za nchi
Kuna nchi au wanasiasa huchochea ukabila au udini Ili wapate sapoti lakini vyanzo vyote ni wanasiasa.
 
Pia weka hili akilini,

Wakatoliki Si wakristo, pia Islam hawatambuliki Mbinguni.

Dini hizo mbili ndizo zitaungana Kupambana na wamwaminio Yesu( Waliookoka) ambao hawatakubali kuabudu sanamu ya shetani.

Utakubaliana nami kuwa dini hizo kubwa mbili zinaabudu sanamu, Moja Muungu jua, dini ingine wanaabudu muungu jua na mwezi, hao kamwe hawezi kataa kuabudu sanamu maana wameshazoea Ibada hizo.
Hapa napo unakosea, Wakatoliki hawaabudu sanamu, ule msalaba na yale masanamu mengine ni symbolism/ishara kwa kile ambacho kiko katika imani na roho za wakatoliki, waislamu nao hawaabudu mwezi bali mwezi ni ishara ya majira katika ibada zao
 
Hakuna vita ya kidini. Vita vyote chanzo chake ni siasa za nchi
Kuna nchi au wanasiasa huchochea ukabila au udini Ili wapate sapoti lakini vyanzo vyote ni wanasiasa.
Hujui chanzo Cha siasa ni dini, na mifumo ya uongozi kisiasa yote imetoka ndani ya vitabu vya kiimani?
 
Hapa napo unakosea, Wakatoliki hawaabudu sanamu, ule msalaba na yale masanamu mengine ni symbolism/ishara kwa kile ambacho kiko katika imani na roho za wakatoliki, waislamu nao hawaabudu mwezi bali mwezi ni ishara ya majira katika ibada zao
Ikiwa ni Ishara, iweje upige magoti na kusujudu mbele ya Ishara?

Hiyo ni Ibada ya sanamu.

Imeandikwa,

Wamwabudio halisi imewapasa kumwabudu katika Roho na Kweli,

Si Kwa kutizama Ishara, kuangalia kusini Wala kufuata mwandamo wa mwezi.
 
Jina la Allah, lile Jina la 100 usilolijua ni lipi?

Tukilijua Jina la Allah, tutaweza kumtofautisha na miungu mwingine ikiwa Yeye ndiye Mungu mkuu.
Ebu fafanua mkuu, Allah ana majina 99 according to Islam.
Sasa kuna jina la 100? Kwa imàni ipi mmempa hilo jina?
Ebu litaje.
 
Sas
Ikiwa ni Ishara, iweje upige magoti na kusujudu mbele ya Ishara?

Hiyo ni Ibada ya sanamu.

Imeandikwa,

Wamwabudio halisi imewapasa kumwabudu katika Roho na Kweli,

Si Kwa kutizama Ishara, kuangalia kusini Wala kufuata mwandamo wa mwezi.
Sasa ndugu yangu, madhabahu yatadumuje karne na karne bila ishara na tamaduni zitakazopitishwa kutoka kizazi kimoja kwenda kingine? Mmewahi kujiuliza kwanini haya madhehebu makubwa yamedumu muda mrefu lakini walokole makanisa yanalegalega na misingi inabadilika mchungaji kwa mchungaji? Ukatoliki, Ulutheri na kadhalika ni imani zilizojikita katika utamaduni na kuna njia gani ya kudumisha utamaduni kama sio ishara na utamaduni?
 
Ebu fafanua mkuu, Allah ana majina 99 according to Islam.
Sasa kuna jina la 100? Kwa imàni ipi mmempa hilo jina?
Ebu litaje.
Islam wanajua Majina 99 ya Allah, lakini Jina personal la Allah ambalo ni la 100 hawalijui.

Sasa nikisema wanamwabudu wasiyemjua nitakuwa sijakosea.

Christians wamepewa kulijua Jina personal la Mungu huyo mmoja.

Nikutajie?
 
Sas
Sasa ndugu yangu, madhabahu yatadumuje karne na karne bila ishara na tamaduni zitakazopitishwa kutoka kizazi kimoja kwenda kingine? Mmewahi kujiuliza kwanini haya madhehebu makubwa yamedumu muda mrefu lakini walokole makanisa yanalegalega na misingi inabadilika mchungaji kwa mchungaji? Ukatoliki, Ulutheri na kadhalika ni imani zilizojikita katika utamaduni na kuna njia gani ya kudumisha utamaduni kama sio ishara na utamaduni?
Yesu hakuja kuanzisha madhehebu,

Alituagiza kuihubiri injili duniani kote.

Shida ilianza pale sadaka inapokusanywa Badala ya kuteketezwa kwenda kuhubiri injili, sadaka inabadilishwa matumizi, inawekwa bank na kuanzisha miradi ya kiuchumi,

Hapo ndipo Hila huanzia. Imani inapochukua sura ya Taasisi.
 
Acha utapeli hakuna kitu kinaitwa Unyakuo ,

Unyakuo wa Siri ni fundisho la kipagani la walokole ,muwe mnasoma asili ya mafundisho huko makanisani mjue yametokea wapi, sio kila kitu mnabeba tu
Wewe ndio tapeli mkubwa,unataka tukuamini ili iweje?
 
Unyakuo, biblia, kuruani vyote ni vya kipagani Sisi havituhusu msituletee ujinga. Hizo hadithi za wazungu na waarabu.
 
Trump anawindwa tena aondolewe,

Hilo likitokea, Taifa Hilo kubwa litaanguka Kwa maandamano, hawatasimama tena.

Ni maombi yetu amalize salama uongozi wake, maana katika uongozi wake, Mungu ataondoa na kuzuia UMWAGAJI DAMU duniani sababu ya Trump mtumishi wake.
Trump alifanya mapenzi na mcheza picha za ngono then akamlipa hela ili asitangaze kama ali mbaltazari mtu kama huyu anaweza kuwa mtumishi wa mungu kama unavyomuita?
 
Kwani mtumishi wa Mungu inabidi awe hanithi au asiwe rijali?
 
Umenena vyema,

Uelekeo ni vita kuu ya Dunia ktk mfumo wa kiimani, Si Uchumi Wala siasa,

Ujio wa Trump utaleta mapumziko ya harakati hizi ktk uongozi wake.
Vita ya kiimani kivipi? Je itakuwa imani ipi against ipi? Je unajua kwanini uislam unakuwa kwa nguvu duniani? Je Gogu na Magogu ni akuna nani? Unajua Harmagedon maana yake ni nini? Naomba nichokoze mada kwa upana zaidi mjoli wa Bwana.
 
Hapa napo unakosea, Wakatoliki hawaabudu sanamu, ule msalaba na yale masanamu mengine ni symbolism/ishara kwa kile ambacho kiko katika imani na roho za wakatoliki, waislamu nao hawaabudu mwezi bali mwezi ni ishara ya majira katika ibada zao
Mkuu unajua maana ya kuabudu kitu?
 
Salaam, Shalom!!

Mikwara ni mingi duniani Kwa sasa, mashariki, magharibi, kaskazini na kusini,

Silaha nzito za maangamizi Kila Taifa kubwa linazo, ni kutishana tu, haitakuwepo vita kuu ya tatu ya Dunia Kwa mfumo huu kama wengi wanavyodhani.

Kinac.hoendelea hivi sasa ni tetesi tu za vita sawa sawa na Mathew chapter 24, ni Taifa na Taifa litapingana, kundi na kundi, lakini vita ya Dunia nzima haitakuwepo.

Vita itakayokuja Dunia nzima ni ya mfumo wa kiimani, ni vita ya wamwaminio Yesu vs Wasiomwamini hii vita kuu ijayo itaitwa Armageddon war. Vita hii itakuja baada ya kunyakuliwa Kanisa.

Shika sana ulichonacho, mtu asikudanganye na kuitwaa taji Yako.

Mungu awabariki.

Ameen.
Kanisa Lina nyakuliwa lini mtumishi?
 
Dini ishapoteza ushawishi kwa nchi zilizoendelea kaka, imebaki Africa na nchi zingine maskini!
 
Back
Top Bottom