Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kwahiyo hàkuna vita kuu ya tatu labda tuseme yà wamwaminio Allah vs wasiomwamini...Salaam, Shalom!!
Mikwara ni mingi duniani Kwa sasa, mashariki, magharibi,........,.....
Vita itakayokuja Dunia nzima ni ya mfumo wa kiimani, ni vita ya wamwaminio Yesu vs Wasiomwamini...........
Au hii haipo?