Usidhani shetani ni mdogo kama unavyofikiri

Usidhani shetani ni mdogo kama unavyofikiri

Yesu kaumbaje vitu wakati Yesu kabla hajazaliwa na bikira Maria kulikua na maisha sasa inamaana aliumba vitu vyote then akafa halafu akazaliwa tena au kwa kwa urahisi tu inamaana Adam aliumbwa na Yesu wakina Ibrahim ahaaa dini zinachanganya halafu hao waliotuletea hawana habari
Yesu anazaliwa tayari Shetani yupo na babu zake, ndio maana Yesu alipowaeleza wazee na makuhani kuwa anawaletea habari za wokovu walishindwa kabisa kumwelewa na wakaanza kumshuhulikia
 
Kuna baadhi ya watu wanadhani Shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshida binadamu wote, utakapojaribu kuingia kwenye ugomvi na yeye ndipo utatambua kuwa unajaribu kupigana na jambo usiloweza, kwa reference fupi, wapo mitume waliojaribu kupambana naye wakaishia kupata adhabu kali zisizoelezeka

Wakwanza ni Yesu, mwana wa Mungu alipojaribu kupambana nae aliishia kusulubishwa

Ayubu mcha Mungu alipata kipigo kikali sana alipomcha Mungu, Adam na Hawa pamoja na utashi wao wote walitiwa kwenye 18, Mitume ikiwemo Stephano walipigwa na mawe mpaka kufa walipoingia kwenye vita na Shetani

Unaposema unataka vita na Shetani labda pepo ila sio Shetani aliyemsulubisha Yesu, vinginevyo utaishia kuchapwa kipigo kitakatifu.
the anti-God spirit in action...acha kudandia kwa mbele
 
the anti-God spirit in action...acha kudandia kwa mbele
Mimi sienezi Ushetani nimefanya tafiti nyingi nikagundua reference zipo nyingi watu tu wanajitoa ufahamu. Mwaka juzi yupo mchungaji video zake za ngono na malaya wake zilisambaa duniani kote. Si mliambiwa kuzini ni dhambi?

Na sasa mnasema Shetani ni mdogo? Ili mpingane na ukweli huu nendeni muondoe gest zote na club za pombe ndipo mje kupingana na ukweli huu, hakuna usichojua kila kitu unaona kwa macho bado unapingana tu,
 
Kuna baadhi ya watu wanadhani Shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshida binadamu wote, utakapojaribu kuingia kwenye ugomvi na yeye ndipo utatambua kuwa unajaribu kupigana na jambo usiloweza, kwa reference fupi, wapo mitume waliojaribu kupambana naye wakaishia kupata adhabu kali zisizoelezeka

Wakwanza ni Yesu, mwana wa Mungu alipojaribu kupambana nae aliishia kusulubishwa

Ayubu mcha Mungu alipata kipigo kikali sana alipomcha Mungu, Adam na Hawa pamoja na utashi wao wote walitiwa kwenye 18, Mitume ikiwemo Stephano walipigwa na mawe mpaka kufa walipoingia kwenye vita na Shetani

Unaposema unataka vita na Shetani labda pepo ila sio Shetani aliyemsulubisha Yesu, vinginevyo utaishia kuchapwa kipigo kitakatifu.
Angalia upya andiko lako usije ukawa unamnenea Mungu makufuru ambapo ni kumdhihaki nankumshusha.

Mungu anapokuwa pamoja nawe hakuna shetani wala kitu chochote kitakachokushinda.

Shetani amefanyika laana kwa sababu ya hiki unachokifanya hapa yaani kujiinua na kumkufuru Mungu na Roho wake Mtakatifu. Lakini amin amin nakuambia, haijapata kutokea shetani akamshinda mtu wa Mungu.

Yesu hakupigwa na shetani bali aliamua kuufia ulimwengu ili aishinde mauti na kuitiisha dhambi kumsaidia mwanadamu ambaye AKIAMINI tu anapata msamaha wa dhambi na kuurithi Uzima wa Milele
 
Shetani anapiga kabisa story na Mungu alaf mtu anaibuka et shetani toka
Ndio maana Ayubu alipoteswa sana, Shetani akamwambia Mungu mtazame mcha wako jinsi ninavyomgaragaza na umekuwa ukisema anakupenda sana pia anakutii.

Mungu akamwambia usitoe roho yake.
 
Mwache aharibu mwili wangu lakin roho yangu ikaishi na Bwana daima.Sitaogopa nitamtumikia Yeye aliyenileta,ijapo nitapitia majaribu mengi lakin bado nitamtumainia Yesu kristo.Tunakufa hata ivo
Hapo nakuelewa sasa, ukiwa unasali na kujiombea wewe ama kuombea ulimwengu unabaki salama, baya ni pale unaposema unaingia vitani na kuanza maombi ya vita kati yako na Shetani hapo ndipo atakushushia kipigo kitakatifu.

Vita sio nzuri ndio maana serikali inapambana kila siku kuhakikisha haitumbukizi nchi vitani, madhara ya vita ni mabay sana.
 
Wewe hujiulizi ana nguvu kiasi gani mpaka amtandike yesu na amwambie kama wewe ni mtoto wa Mungu basi jishushe msalabani?
Usidhani ni kitu kidogo hiki, kama yesu alichapwa kiasi kile basi binadamu utamumunywa kama pipi
Kwanza hizo habari za kusulubiwa Yesu masih(a.s) ni habari zenye mkanganyiko mkubwa ndani yake, na ndio nikakwambia wakristo hamna uhakika na dini yenu ndio maana baadhi ya wachungaji wengi wakaona bora wamtumikie shetani,, ila shetani hana nguvu yoyote kwa aliye muumba.
 
Mimi sienezi Ushetani nimefanya tafiti nyingi nikagundua reference zipo nyingi watu tu wanajitoa ufahamu. Mwaka juzi yupo mchungaji video zake za ngono na malaya wake zilisambaa duniani kote. Si mliambiwa kuzini ni dhambi? Na sasa mnasema Shetani ni mdogo? Ili mpingane na ukweli huu nendeni muondoe gest zote na club za pombe ndipo mje kupingana na ukweli huu, hakuna usichojua kila kitu unaona kwa macho bado unapingana tu,
punguzo mihemko. usihitimishe jambo kwa kuwa wachache wamefeli. dunia ina 7.4bil people, inatarajia wote wawe na mentality ya aina moja? Omba Mungu, that is your prime responsibility. Wewe ni mwanadamu tu si kazi yako kumanalyze shetani.

Hiyo ni kazi ya aliyemuumba, na Yeye Mungu ndiye anajua in detail shetani alikosea nini hata akafutiwa msamaha. acha kumtukuza shetani
 
Shetani hashindwi, hizo ni habari za binadamu wanaojiaminisha na wanaojaribu kukimbia ukweli wa Shetani. Mara nyingi watu wanashindwa kutofautisha kati ya Shetani na mapepo, mapepo ni vitoto vidogo ambavyo ndivyo watu wana deal navyo kila siku lakini Shetani mwenyewe akishuka katika ardhi ya Tanzania basi hii nchi itageuka kichwa chini miguu juu, mimi naongea kwa reference,
Yesu pamoja na nguvu zote alichapwa vibaya sana je wewe binadamu utachapikaje utakapojaribu kuingia nae katika vita?
Sasa niambie shetani ameumba nini? Na kama ana nguvu basi awe na uwezo wa kuwateza nguvu viumbe vyote ulimwenguni wamtumikie yeye tu kama ana nguvu afanye hivyo.

Huu ni ukosefu wa elimu na maarifa hata kushindwa kuwa na imani thabiti. Shetani ni kiumbe tu hawezi kushindana na muumba wake na sio kila anachotaka atafanikiwa.
Marafiki wa shetani ni wale wanaomtii basi na ndio ana madaraka kwao.

Kama wewe umeamua kumtumikia mtumikie wewe sio kuwaaminisha watu wote wamuamini shetani, wangapi walikuwa vipenzi vya shetani na wanamtumikia kwa kila jambo atakalo mbona wamekufa na wala kwamwe hakuweza kuwahuwisha...Kifo kidume sana 😂😂
 
Yesu Kristo ndiye aliyeumba vyote akiwepo shetani leo hii atakuwaje na nguvu kuliko Yesu?
Cha ajabu ni kwamba unaweza kuwa elimu kubwa tu ila una bado una fikra za namna hii!!!tanzania ina wapumbavu wenye vyeti
 
Yesu kaumbaje vitu wakati Yesu kabla hajazaliwa na bikira Maria kulikua na maisha sasa inamaana aliumba vitu vyote then akafa halafu akazaliwa tena au kwa kwa urahisi tu inamaana Adam aliumbwa na Yesu wakina Ibrahim ahaaa dini zinachanganya halafu hao waliotuletea hawana habari
Qur'an imejibu utata wote huo,, hutokuta mkanganyiko wowote katika Qur"an kuhusu masih mwana wa maryam.

Na ndio maana nikadiriki kusema kuwa wakristo hawana uhakika na imani yao kwa kuwa ndani ya hiyo biblia kuna migongano mingi ndani yake kuhusu habari za YESU.
 
punguzo mihemko. usihitimishe jambo kwa kuwa wachache wamefeli. dunia ina 7.4bil people, inatarajia wote wawe na mentality ya aina moja? Omba Mungu, that is your prime responsibility. Wewe ni mwanadamu tu si kazi yako kumanalyze shetani. Hiyo ni kazi ya aliyemuumba, na Yeye Mungu ndiye anajua in detail shetani alikosea nini hata akafutiwa msamaha. acha kumtukuza shetani
Unatumia pesa, condom, na vitu kedekede alafu unasema utamkimbia Shetani? 😂
 
Sasa niambie shetani ameumba nini? Na kama ana nguvu basi awe na uwezo wa kuwateza nguvu viumbe vyote ulimwenguni wamtumikie yeye tu kama ana nguvu afanye hivyo.

Huu ni ukosefu wa elimu na maarifa hata kushindwa kuwa na imani thabiti. Shetani ni kiumbe tu hawezi kushindana na muumba wake na ndio sio kila anachotaka atafanikiwa.
Marafiki wa shetani ni wale wanaomtii basi na ndio ana madaraka kwao. Kama wewe umeamua kumtumikia mtumikie wewe sio kuwaaminisha watu wote wamuamini shetani, wangapi walikuwa vipenzi vya shetani na wanamtumikia kwa kila jambo atakalo mbona wamekufa na wala kwamwe hakuweza kuwahuwisha...Kifo kidume sana 😂😂
Kitendo cha wewe kutumia pesa tayari upo kwenye 18 zake hachomoki mtu, wengi wanaojifanya wachamungu ni wanafiki, mwanaume kamili unaachaje kugeukia wanawake barabarani wakati mmeambiwa msitamani wake za watu? 😂
 
Back
Top Bottom