Usidhani shetani ni mdogo kama unavyofikiri

Usidhani shetani ni mdogo kama unavyofikiri

Mimi sienezi Ushetani nimefanya tafiti nyingi nikagundua reference zipo nyingi watu tu wanajitoa ufahamu. Mwaka juzi yupo mchungaji video zake za ngono na malaya wake zilisambaa duniani kote. Si mliambiwa kuzini ni dhambi? Na sasa mnasema Shetani ni mdogo? Ili mpingane na ukweli huu nendeni muondoe gest zote na club za pombe ndipo mje kupingana na ukweli huu, hakuna usichojua kila kitu unaona kwa macho bado unapingana tu,
Unashindwa kutofautisha katika ya utashi wa nafsi ya mtu, ushawishi wa shetani,, kila anavyo comment na mie ndio napata ujasiri wa kukuuliza maswali mengi kwa yakini utashindwa kuyajibu.
 
Kitendo cha wewe kutumia pesa tayari upo kwenye 18 zake hachomoki mtu, wengi wanaojifanya wachamungu ni wanafiki, mwanaume kamili unaachaje kugeukia wanawake barabarani wakati mmeambiwa msitamani wake za watu? 😂
Hoja yako hiyo nimeshaijibu na ukitaka maandiko nitakupa yaani wewe unaona kama umejenga hoja kumbe hakuna lolote...utashi umeeumbwa, na kukosea kupo na ndio maana kukawekwa na toba kwa yule nafsi yake isiyokuwa na kiburi.

Nakuuliza kitu kimoja tu ni kitu gani kinachokusukuma mpaka ukala chakula au ukaamua kulala na tena sometimes hata bila ya kutaka?
 
Kwa Yesu, shetani alidhani amemkomoa ila alitimiza maandiko. .. . ilikuwa lazma mwana wa Adamu aje aishi kama mwanadamu na asubulubiwe...afanyike laana ..aimwage damu yake isiyo na hatia kwa ajili ya utakaso wa kila mwanadamu mwenye mwili duniani.. afe azikwe na afufuke..

Msalaba una nguvu kuliko mauti.
Kwahiyo Yesu ni mwana wa Adamu?
 
Kitendo cha wewe kutumia pesa tayari upo kwenye 18 zake hachomoki mtu, wengi wanaojifanya wachamungu ni wanafiki, mwanaume kamili unaachaje kugeukia wanawake barabarani wakati mmeambiwa msitamani wake za watu? 😂
Acha kumpa promo shetani, kwahiyo matumizi ya pesa au kubadilishana bidhaa kuuza na kununua ni mpango wa shetani? Acha kupotosha umma.
 
Na wala hakuwa shetani ni wanadamu tu na tamaa zao za madaraka, walidhani atawakwapua madaraka.
Ni kweli wengi tunamsingizia shetani anajulikana kama lusifa kwamba anatusumbua wakati wanaotusumbua ni wanadamu kwa husuda zao na shetani wa mtu ni mtu, mtu yeyote mbaya au mwenye roho mbaya ni shetani.
 
Hoja yako hiyo nimeshaijibu na ukitaka maandiko nitakupa yaani wewe unaona kama umejenga hoja kumbe hakuna lolote...utashi umeeumbwa, na kukosea kupo na ndio maana kukawekwa na toba kwa yule nafsi yake isiyokuwa na kiburi.

Nakuuliza kitu kimoja tu ni kitu gani kinachokusukuma mpaka ukala chakula au ukaamua kulala na tena sometimes hata bila ya kutaka?
Ni njaa
 
Cha ajabu ni kwamba unaweza kuwa elimu kubwa tu ila una bado una fikra za namna hii!!!tanzania ina wapumbavu wenye vyeti
Bado upo kwenye kufikiri mambo ya kweli ya dunia hii ni yale tu yanayoingia kichwani, yapo mengi mengine yasiyoingia kwenye uelewa wetu lakini yapo na yanaathiri maisha ya watu.

Mambo haya ni ya kiroho na hutambulika kwa namna za kiroho na sio logic na sense za kawaida za kisayansi.
 
Kuna baadhi ya watu wanadhani shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshida binadamu wote. Utakapojaribu kuingia kwenye ugomvi na yeye ndipo utatambua kuwa unajaribu kupigana na jambo usiloweza. Kwa reference fupi, wapo mitume waliojaribu kupambana naye wakaishia kupata adhabu kali zisizoelezeka.

Wakwanza ni Yesu, mwana wa Mungu alipojaribu kupambana nae aliishia kusulubishwa. Ayubu mcha Mungu alipata kipigo kikali sana alipomcha Mungu, Adam na Hawa pamoja na utashi wao wote walitiwa kwenye 18, mitume ikiwemo Stephano walipigwa na mawe mpaka kufa walipoingia kwenye vita na shetani.

Unaposema unataka vita na shetani labda pepo ila sio shetani aliyemsulubisha Yesu, vinginevyo utaishia kuchapwa kipigo kitakatifu.
Mbona kuna mabinti wadogo wadogo tu wanamkanyaga pale kwa Mwamposa, kwa Kakobe na kwa Rashid Ubungo
 
Back
Top Bottom