Usiende kwa mganga kutaka utajiri ila kamwambie hivi...!!

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Utajiri una mambo mengi magumu na mwisho wa siku unakuja kuangukia pua au kupoteza watu wako wa muhimu.

Ukienda kwa mganga usimwabie nataka utajiri ila mwambie nataka mambo yangu yaende kila naposhika pakubali watu wanipende nipate riziki

Alafu mwambie unataka kuchinja hasa mbuzi

Huwezi kufanikiwa bila kuchinja.
Mafanikio utakayo yapata hapo ndio yatakupa utajiri ila usiende na lengo la kuwa tajiri.

Na nyie jobless nendeni kwa waganga muingie mikataba na majini muyaahidi kuyapa kafara ya mbuzi kwa muda Fulani ili yawatafutie ajira .

Ni njia rahisi sana kutoboa
Ahsante
 
Kule kwa Davista Mata Youtube kuna Dogo anatoa ushuhuda alienda kwa mganga apate mambo mazuri.

Usiku wa maanane wakaenda porini wakakutana na Beberu la mbuzi limesimama chini ya Mti, likamwingilia Dogo Nyuma.

Dogo mambo yakaenda vizuri lakini hadi leo hajasahau maumivu ya lile buzi
 
Hahaha that is so bad
 
Hiyo pesa ya mbuzi si bora hata ukanunue boxer za bei ya jumla uuze rejareja pembezoni mwa barabara kuliko kwenda kumpa mganga kitoweo.

1739800085564.png

Anaeombwa dawa ya utajiri yeye mwenye kapuku.
 
Back
Top Bottom