Usiende kwa mganga kutaka utajiri ila kamwambie hivi...!!

Usiende kwa mganga kutaka utajiri ila kamwambie hivi...!!

Utajiri una mambo mengi magumu na mwisho wa siku unakuja kuangukia pua au kupoteza watu wako wa muhimu.

Ukienda kwa mganga usimwabie nataka utajiri ila mwambie nataka mambo yangu yaende kila naposhika pakubali watu wanipende nipate riziki

Alafu mwambie unataka kuchinja hasa mbuzi


Huwezi kufanikiwa bila kuchinja.
Mafanikio utakayo yapata hapo ndio yatakupa utajiri ila usiende na lengo la kuwa tajiri.

Na nyie jobless nendeni kwa waganga muingie mikataba na majini muyaahidi kuyapa kafara ya mbuzi kwa muda Fulani ili yawatafutie ajira .

Ni njia rahisi sana kutoboa
Ahsante
Acha ushirikina kijana
 
Inamana hujijui
Oya dogo sio kila mahala unatakiwa kupost, we mshamba wa wapi?
Halafu we ni student, wenzako wako class wanakremisha , wewe unafanya nini humu kwenye mitandao ..kwanza umejiunga 2025..jifunze kubalance kimbelembele.
 
Kule kwa Davista Mata Youtube kuna Dogo anatoa ushuhuda alienda kwa mganga apate mambo mazuri.

Usiku wa maanane wakaenda porini wakakutana na Beberu la mbuzi limesimama chini ya Mti, likamwingilia Dogo Nyuma.

Dogo mambo yakaenda vizuri lakini hadi leo hajasahau maumivu ya lile buzi
Ongezea nyama kidogo mkuu
 
Back
Top Bottom