Usiende kwa mganga kutaka utajiri ila kamwambie hivi...!!

Utajiri una mambo mengi magumu na mwisho wa siku unakuja kuangukia pua au kupoteza watu wako wa muhimu.

Ukienda kwa mganga usimwabie nataka utajiri ila mwambie nataka mambo yangu yaende kila naposhika pakubali watu wanipende nipate riziki

Alafu mwambie unataka kuchinja hasa mbuzi

Huwezi kufanikiwa bila kuchinja.
Mafanikio utakayo yapata hapo ndio yatakupa utajiri ila usiende na lengo la kuwa tajiri.

Na nyie jobless nendeni kwa waganga muingie mikataba na majini muyaahidi kuyapa kafara ya mbuzi kwa muda Fulani ili yawatafutie ajira .

Ni njia rahisi sana kutoboa
Ahsante
Shekh mandazi unataka nyama ya mbuzi baada ya kuchochwa na nyama ya kuku mweusi 😁😁😁😁
 
🤣🤣🤣🤣
Nimeona watu wameshindwa kung'amua janja za shekh mandazi ...wakati janja yake hipo wazi kabisa eti mwambie kuwa unataka kuchinja mbuzi ...kwani mgonjwa ujichagulia dawa ? 😁 jamaa anajiandaa na mwezi wa mfungo anataka kula kitu mbuzi kachoka shombo ya kuku mweusi
 
Utajiri una mambo mengi magumu na mwisho wa siku unakuja kuangukia pua au kupoteza watu wako wa muhimu.

Ukienda kwa mganga usimwabie nataka utajiri ila mwambie nataka mambo yangu yaende kila naposhika pakubali watu wanipende nipate riziki

Alafu mwambie unataka kuchinja hasa mbuzi

Huwezi kufanikiwa bila kuchinja.
Mafanikio utakayo yapata hapo ndio yatakupa utajiri ila usiende na lengo la kuwa tajiri.

Na nyie jobless nendeni kwa waganga muingie mikataba na majini muyaahidi kuyapa kafara ya mbuzi kwa muda Fulani ili yawatafutie ajira .

Ni njia rahisi sana kutoboa
Ahsante
Mkuu
 
Kule kwa Davista Mata Youtube kuna Dogo anatoa ushuhuda alienda kwa mganga apate mambo mazuri.

Usiku wa maanane wakaenda porini wakakutana na Beberu la mbuzi limesimama chini ya Mti, likamwingilia Dogo Nyuma.

Dogo mambo yakaenda vizuri lakini hadi leo hajasahau maumivu ya lile buzi
 
😂😂😂😂😂
 
😂😂😭😭😭
 
Upo sahihi kabisa mkuu, mwnyw nilienda kwa mganga nikamwambia hvy hvy, huu n mwaka wa tatu sasa kila mkeka nawin mapesa 🔥
 
You think you de wise ? 😁😂😂😂
 
Back
Top Bottom