Usiende kwa mganga kutaka utajiri ila kamwambie hivi...!!

Usiende kwa mganga kutaka utajiri ila kamwambie hivi...!!

Utajiri una mambo mengi magumu na mwisho wa siku unakuja kuangukia pua au kupoteza watu wako wa muhimu.

Ukienda kwa mganga usimwabie nataka utajiri ila mwambie nataka mambo yangu yaende kila naposhika pakubali watu wanipende nipate riziki

Alafu mwambie unataka kuchinja hasa mbuzi


Huwezi kufanikiwa bila kuchinja.
Mafanikio utakayo yapata hapo ndio yatakupa utajiri ila usiende na lengo la kuwa tajiri.

Na nyie jobless nendeni kwa waganga muingie mikataba na majini muyaahidi kuyapa kafara ya mbuzi kwa muda Fulani ili yawatafutie ajira .

Ni njia rahisi sana kutoboa
Ahsante
8BD01C1B-183E-4715-AA20-49D441CA0D77.jpeg
 
Sawa tajiri mpka mauti yatakapo kukuta
Ufukara sio lazima uwe wa kipato. Hata kiimani unaweza ukawa fukara huku ukiona una pesa.

Hakuna mali mbaya kama ya maagano, huanza na mbuzi na kuishia na watu. Nini faida ya utajiri ambao unaweka utu wako rehani

Ukitaka kujua utajiri wa maagano ni mbaya jiulize kwanini mganga hauchukui, yeye anakuwa dalali tu.
 
Back
Top Bottom