Usiende kwa mganga kutaka utajiri ila kamwambie hivi...!!

 
Kwanini Professor ana watoto vilaza na wazazi wake hawajui kusoma na kuandika?
Mwalimu tu wa shule ya msingi amewafundisha watu ni mawaziri lakini hata ubalozi hana.kila mtu na sahani yake.
 
Sawa tajiri mpka mauti yatakapo kukuta
Ufukara sio lazima uwe wa kipato. Hata kiimani unaweza ukawa fukara huku ukiona una pesa.

Hakuna mali mbaya kama ya maagano, huanza na mbuzi na kuishia na watu. Nini faida ya utajiri ambao unaweka utu wako rehani

Ukitaka kujua utajiri wa maagano ni mbaya jiulize kwanini mganga hauchukui, yeye anakuwa dalali tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…