Usifanye haya Mambo unapodeal na mwanamke kama hutaki wakupande kichwani, kinyume na hapo mtalia sana Jamaa zangu!!

Hahahahahaha,hahahahaha
 
Hizi ndo zile akili wanasemaga.
 
Kweli tupu. Yaani mwanaume unakua haueleweki.
 
Wewe unajua kuifinyia?
 
sikiaa Tena Kuna wakati unatakiwa wewe Mwanaume, Uanzishe mgogoro ambao unaweza kuucontrol wewe mwenyewe na kuupa solution wewe mwenyewe .... Yaaan unamliza- unamfurahisha wewe mwenyewe , hiii kitu Huwa inaimarisha bond ya Mahusiano...
Mmanyoko...... 🤣 🤣 🤣 🤣
Upewe maua yako......
 
Kama kweli mwanaume ulifika sehemu ukapenda kwelikweli..
Peleka moto haraka sana hiko kipindi, totoa na furahia maisha yako...
Ukianza kuona mawenge piga chini,
Hakuna raha kama kuwa singo tena baada ndoa na watoto...unakuwa super kujiachia na kila mbunye inayokatiza mbele yako...
Huku ukiwa na watoto wako wa kuwapotezea michepuko wa one night stand mkikutana mlimani city, wanabaki kusonya....
 
Mkuu chukua maua Yako umeua Kuna somo hapa umenifunza Tena kubwa Sana
 
Hiyo ya kumfanya ajue Hana mahisiano stable usijaribu kwa msichana anayewaza ndoa muda huo maana atajua kabisa anapoteza muda so atakuwa wa kwanza kukuacha km Niffah na the Bold [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Njoo ni dm elimu ya mapenz nimeachwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…