Usifanye haya Mambo unapodeal na mwanamke kama hutaki wakupande kichwani, kinyume na hapo mtalia sana Jamaa zangu!!

Kila mmoja sa hv ni mjuaji , Kwa Hz hints zako utatombewa Sana bro...!!
 
fanya yote ila nje ataenda kusuguliwa tuu, kikubwa mzalishe lea mtoto afu mwache ahangaike na magume gume yake hiki kizazi watu wana.magonjwa ya akili tena ukimridhisha mahitaji yote unampatia mnaishi poa hapo ndo anapata mshawasha wa kutest mikuyenge mingine kwa sababu kila kitu anapata alichokosa ni hogo kubwa na kama unalo atataka atest kibamia aone kinakuwaje tena anaweza kukitunuku kibamia mpka nje ya ukuta, Kataa ndoa makaratasi
 
Wewe jamaa haya mambo unayoandika yana thamani kama dhahabu ya migodi ya buzwagi

Ila amini kuna vijana hawawezi control hisia Zao watafata mamoyo yao na kuacha pragmatism hii
 
Fact

Hisia na haya hayaendani moja lazima ishike hatamu
 
Aloo😂
Nina huzuni mmekuja na counter attack

Kwakweli umesema kweli
 
Oshey mr 💰
 
Acha kukariri ujinga wewe, tumia kanuni zako zote af ukimaliza urud hapa kujiliza liza
 
Hapa nakazia.
 
Hii 50/50 niseme ukweli hata mm inaniboa aise Niko mwenyew nakula navaa nafanya mambo yangu ya kimaendeleo lakini kunamuda kichwa kinapata moto yaani balaa kunavitu siviwezi hata nikiviwaza naona kbisa Nimejiover dose Kuna gape mahali wanawezaje hii 50/50 au mm ndo sijaielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…