Usifanye hivi kwa mkeo kama unataka kumfungulia biashara

Usifanye hivi kwa mkeo kama unataka kumfungulia biashara

Asilimia kubwa ya migogoro inayovunja ndoa ni wanamke kuwa na financial freedom.
Mwanamke akiwa na uhakika wa kuendesha maisha yake bila msaada wa mwanaume lazima kiumane.
Hili nalo neno. Mwanamke akishapata financial independence wazo la kwanza ni kumuuondoa mwanau.e kwenye maisha yake.
 
Za maamko

Kuna watu mnataka kuwafungulia biashara wake zenu ila epuka hii kitu

Mfungulie biashara ila hakikisha hajui wapi marighafi unatolea yaani machimbo unakochukua mzigo wewe fanya kuwasiliana na argent chukua mzigo fikisha dukani endelea usimpe mwanya wa kuwasiliana na argent unako chukulia mzigo kabisa

Unapo mpa mwanya uho madharau ndani ndio yanazidi mshape mkeo aone bila wewe yeye sio kitu au familia watoto waone bila wewe no familia ndani hawali

Wanaume tunakufa kwasababu za stress ukijifanya kumpa nafasi mwanamke umekwisha dharau zitazidi then atajiona yeye mwamba

Usiwekeze pesa yako kwa mwanamke kabisa kutegemea ipo siku ukishuka kwenye uchumi atakufaa utaambulia manyanyaso
Yote hayo ya nini?

Suluhisho la kudumu ni hili 👉👉👉 KATAA NDOA
 
Back
Top Bottom