Kwa kuogopa kujikwaa au sababu sehemu ina mawe mengi na kuacha kutembea unaweza kujikuta unajikosesha raha ya matembezi..., (Unless haupendi kutembea basi na usitembee) ila uwepo wa mawe na kujikwaa usikufanye usitembee wakati unapenda matembezi....
Moral of the story kuishi na watu ni kazi sana.., na ndoa sio lelemama lakini pamoja na yote issue ya pesa na kipato sio tatizo pekee..., Na kwangu mimi binafsi ni bora nimpe mtaji kupunguza kuombwa na kusumbuliwa (kwangu mimi hio ni kero zaidi); kwahio kama anaweza kujituma kwa kumfanya awe independent kwangu ni faida no matter hata akibadilika au kuniacha..., Why ? At least atakuwa ameonyesha her true colors..., Maybe nasema hivi sababu kwangu mimi financial and material things vinachukua nafasi ndogo sana....