Usifungue thread hii, kama moyo wako si mwema na ni mwenye Jazba.

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
Jamani, unafiki na kujikosha si tabia njema, kwani ni dhambi mbele za Sir God , na mnafedhesha mitume wake.
 
Mda mwingine kumjibu mjinga yahitaji busara sana.,ujinga ni nusu ya mauti
 
Kwa mfano leo, nimeona thread humu ya wazo wanajadili jinsi ya kuwasaidia, wasio jiweza, yatima na wahitaji wengine. Ki ukweli kama mna nia hiyo zipo sehemu nyingi sana za kufikisha hiyo misaada. Kama moyo wako ni mwema na unania peleka msaada wako leo, sio hadi msubiliane mtakesha mkifanya hivyo, mwingine anacho sema ni tofauti na afikiliavyo. Tazama Mbingu na Ardhi kabla hujafanya jambo lolote lile.
 
Upo sahihi, na siku zote ukweli una uma. Leo tuna wapita ndugu zetu wangapi wana shida huko barabarani, vilema, mateja wanao hitaji msaada wetu? Toa hata mkono wako wa kushoto usijue.
Mda mwingine kumjibu mjinga yahitaji busara sana.,ujinga ni nusu ya mauti
 
Tena kama wewe nivea padogo tu hapa Jf kwa ajili ya kuiwezesha ijiendeshe umeshindwa. Tusiwe na mioyo bandia Mungu anaona ndani ya nafsi zetu hatuwezi jificha kwake kwa ajili ya maneno yetu mazuri yaliyo jaa ulaghai.
 
Last edited by a moderator:

red:ni kweli nimeshindwa nitaiwezeshaje?na nimeshashindwa nlipie basi nipate katufeeee
 
Mie, mwenyewe sija lipa kwasababu nafsi yangu haijawa tayali pindi itapokua tayari nita changia Jf, hapa ninacho ongea kinagusa maisha ya watu hasa wahitaji. Tusiwe wepesi wa kutoa lugha laini na vinywa vyetu kutoa maneno yenye faraja huku nafsi zetu hazipo tayali, hiyo ni dhambi na nafsi yako itakua shahidi nivea @nive nivea nafsi yako ita kuhukumu nakupenda mpendwa na nilio post hapa si ujinga nina maana kubwa sana na hata Muumba anaiona nafsi yangu jinsi itesekavyo

Usiwe na mawazo mgando, kila mtu anasaidia kwa wakati wake, lakini je umewahi hata kuwaza kumpa kilema hata mmoja baiskeli? Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, kwa kuungana tunaweza saidia watu wengi zaidi na tunawapa moyo wasile wasionatabia ya kujitolea Think Big White Party
 
unajua mpaka sasa hivi sijaweza jua nini kinachangiwa kwenye hii mada na inahusu nini kwakweli khaaa!! naona blablablabla nyingi bila mantiki yoeote nini kulalamika utasaidia wangapi uache wangapi dunia pana hiii mama familia zetu wengine ni maskini wa kutupwa unafanya taratibu tuu haya mambo utakuja jikuta unakufa maskini ukisaidia watu ilhali wewe ikiwa unaumia kutafuta hayo maisha wao walikuwa wanakucheka nakukusema umepata kwao sasa wamaana eeeee.noa akili yako sio kila kitu ni chakubeba kuwa na akili yakupambanua mambo mengine unayaona unaishia kusikitika tuu.duia inaendelea kuzunguka .
 
Nafsi zetu hazina huo uhalisia Donn , binadamu hua tuna tabia za kujikosha tu Mr: nakuapia likukute humu tatizo alafu watu waji changishe utaujua ukweli wa hayo waenge ayo.
Usiwe na mawazo mgando, kila mtu anasaidia kwa wakati wake, lakini je umewahi hata kuwaza kumpa kilema hata mmoja baiskeli? Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, kwa kuungana tunaweza saidia watu wengi zaidi na tunawapa moyo wasile wasionatabia ya kujitolea Think Big White Party
 
Last edited by a moderator:
Unachangia thread pasipo kuilewa? Sawa kila la kheri
unajua mpaka sasa hivi sijaweza jua nini kinachangiwa kwenye hii mada na inahusu nini kwakweli khaaa!! naona blablablabla nyingi bila mantiki yoeote nini kulalamika utasaidia wangapi uache wangapi dunia pana hiii mama familia zetu wengine ni maskini wa kutupwa unafanya taratibu tuu haya mambo utakuja jikuta unakufa maskini ukisaidia watu ilhali wewe ikiwa unaumia kutafuta hayo maisha wao walikuwa wanakucheka nakukusema umepata kwao sasa wamaana eeeee.noa akili yako sio kila kitu ni chakubeba kuwa na akili yakupambanua mambo mengine unayaona unaishia kusikitika tuu.duia inaendelea kuzunguka .
 
Mda mwingine kumjibu mjinga yahitaji busara sana.,ujinga ni nusu ya mauti source : nivea
 
Last edited by a moderator:
Dahh hiyo ni point hata mimi nimeikubali,masikini tunawapita wengi ila sa hv tunajidai mstari wa mbele yote sababu tutatokea katika media iwe magazeti ama tv to be seen.

Upo sahihi, na siku zote ukweli una uma. Leo tuna wapita ndugu zetu wangapi wana shida huko barabarani, vilema, mateja wanao hitaji msaada wetu? Toa hata mkono wako wa kushoto usijue.
 
Mi naamini kuna watu wenye mioyo safi JF... Kuwa na imani, au ulishawahi kuchinjiwa baharini na watu humu? Mi mbona nakutana na watu wa kuaminika sana humu jamvini na nimeshafanya nao ishu za pesa nyingi bila shida White Party
 
Last edited by a moderator:
Umenielewa ninacho maanisha katika thread hii?
Mi naamini kuna watu wenye mioyo safi JF... Kuwa na imani, au ulishawahi kuchinjiwa baharini na watu humu? Mi mbona nakutana na watu wa kuaminika sana humu jamvini na nimeshafanya nao ishu za pesa nyingi bila shida White Party
 
Last edited by a moderator:
Ungekua ni Great thinker ungeelewa ninacho maanisha na ungetumia busara katika uulizaji wa maswali na hatimae ungenielewa, ila tatizo lako ujana unakusumbua nivea na huenda hujawai ishi na wahitaji, right ungekua umewai kuishi nao unge nielewa na ungekua mfano.
hhahhahahaha shimboni tafo mono mao

seeking popularity
 
Last edited by a moderator:
unajua mpaka sasa hivi sijaweza jua nini kinachangiwa kwenye hii mada na inahusu nini kwakweli khaaa!! naona blablablabla nyingi bila mantiki yoeote nini kulalamika utasaidia wangapi uache wangapi dunia pana hiii mama familia zetu wengine ni maskini wa kutupwa unafanya taratibu tuu haya mambo utakuja jikuta unakufa maskini ukisaidia watu ilhali wewe ikiwa unaumia kutafuta hayo maisha wao walikuwa wanakucheka nakukusema umepata kwao sasa wamaana eeeee.noa akili yako sio kila kitu ni chakubeba kuwa na akili yakupambanua mambo mengine unayaona unaishia kusikitika tuu.duia inaendelea kuzunguka .

Like!Like!Like!
Ndio maana nakupenda nivea.
Nikubali basi niwe wako.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lenu watanzania wengi ni washabiki na hua mnapelekwa kama bendera, na pia ni wingi wa ahadi, maneno na majivuno
Dahh hiyo ni point hata mimi nimeikubali,masikini tunawapita wengi ila sa hv tunajidai mstari wa mbele yote sababu tutatokea katika media iwe magazeti ama tv to be seen.
 
Ungekua ni Great thinker ungeelewa ninacho maanisha na ungetumia busara katika uulizaji wa maswali na hatimae ungenielewa, ila tatizo lako ujana unakusumbua nivea na huenda hujawai ishi na wahitaji, right ungekua umewai kuishi nao unge nielewa na ungekua mfano.
sitaki bla bla bla bla zako bana kha!! yaani busara zangu nitumie kwenye thread kama hii ???kweli kweli jamani ubongo wangu sikupewa kwa kazi hii am sorrry madam
 
Back
Top Bottom