Usifungue thread hii, kama moyo wako si mwema na ni mwenye Jazba.

Usifungue thread hii, kama moyo wako si mwema na ni mwenye Jazba.

Mungu Mwenyezi akupe hekima na busara, ili usiwe unajiona mnyoofu.
sitaki bla bla bla bla zako bana kha!! yaani busara zangu nitumie kwenye thread kama hii ???kweli kweli jamani ubongo wangu sikupewa kwa kazi hii am sorrry madam
 
Mine is an ordinary mind which can not comprehend such great concepts.
 
usinizoeeee wewe jana umeniambia ni R .I .HELL BWANA WEWE UNA SHARE HUMU USINIHAMISHE JF BURE NIWACHE KABISA PITA MBALI NA POST ZANGU.

Hee!
MAKUBWA HAYO!
Niliandika,"Roast In Hell Mr.Able",
are you Mr.Able?
I love you nivea.
 
Last edited by a moderator:
Samahani muheshimiwa, MzunguMndali usilete mambo ya matani, nina nguvu ya Mungu ambayo inanifanya nifikishe haya, japo naona ni jinsi gani binadamu tulivyo na mioyo ya hira ipinganayo na ukweli wa nafsi zao.
Hee!
MAKUBWA HAYO!
Niliandika,"Roast In Hell Mr.Able",
are you Mr.Able?
I love you nivea.
 
Last edited by a moderator:
Kuna vitu pia yakupasa ufahamu,,je huo msaada unaenda kutolewa vp?
1.uongozi wa jf?
2.members wa jf?
Ukishaelewa hapo ndio next step inatakiwa ila for what i know the hardest thing ni katika kuraise funds am sure hata wewe whiteparty utajifanya kuahidi pesa nyingi ili upigiwe makofi but katika kutoa hautatoa hiyo ndio characters za watu sio watanzania.


Tatizo lenu watanzania wengi ni washabiki na hua mnapelekwa kama bendera, na pia ni wingi wa ahadi, maneno na majivuno
 
Last edited by a moderator:
nimekusoma Chimbuvu & whiteparty ... Katika kila kitu lazima kuna watakao taka nufaika hapo, habari za magazeti na tv... Dah, kwa mtindo huo unanirudisha kwenye Bible. Kama naanza kukuunga mkono hivi ndugu White Party
 
Last edited by a moderator:
bila shaka itakuwa wawakilishi wachache kwa niaba ya JF Members. Ila msaada wa dhati hutolewa kimya kimya, msaada wa matelevisheni na maredio ni wakutafuta popularity. Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
Hata sielewi haya malalamiko humu yanasababishwa na nini...aina ya thread kama hiz ndio chanzo cha unafiki na unafiki wenyewe
 
Back
Top Bottom