Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #21
sitaki bla bla bla bla zako bana kha!! yaani busara zangu nitumie kwenye thread kama hii ???kweli kweli jamani ubongo wangu sikupewa kwa kazi hii am sorrry madam
usinizoeeee wewe jana umeniambia ni R .I .HELL BWANA WEWE UNA SHARE HUMU USINIHAMISHE JF BURE NIWACHE KABISA PITA MBALI NA POST ZANGU.
Mine is an ordinary mind which can not comprehend such great concepts.
usinizoeeee wewe jana umeniambia ni R .I .HELL BWANA WEWE UNA SHARE HUMU USINIHAMISHE JF BURE NIWACHE KABISA PITA MBALI NA POST ZANGU.
kwanini uliniambia vile ??badili tabia haya maneno sio mazuri
kwanini uliniambia vile ??badili tabia haya maneno sio mazuri
Basi niwie radhi nivea,kama nilikukwaza.
Tatizo lenu watanzania wengi ni washabiki na hua mnapelekwa kama bendera, na pia ni wingi wa ahadi, maneno na majivuno
hata baunsa hurembua macho ukipa cotton buds... Teh teh teh
Mkuu Donn,muungwana huomba radhi pale anapo gundua amekosea.