Hili la ndugai liingizwe kwenye maajabu 9 ya dunia.
Inawezekana Spika hana katiba katika desk lake maana kabla ya uamuzi wake huu angeweza kuisoma ibara hii ya katiba kwanza....!!
Ama kama sivyo, kuna uwezekana idara ya sheria na katiba ya taasisi ya Bunge ina vilaza watupu wa sheria...
Kama amekiuka Katiba si mchukue hatua kuliko kulalamika tu huku mtandaoni. Jamani inakera. Mahakama si zipo.
Mahakama hizi zinazotoa hukumu kwa kupokea maelekezo kutoka juuKama amekiuka Katiba si mchukue hatua kuliko kulalamika tu huku mtandaoni. Jamani inakera. Mahakama si zipo.
Hakukuwa na mkutano wa kuidhinisha Mwambe kujivua uanachama kwa kuwa hakuomba ktk chama ili ahame. Kwenye video ya YouTube anasema kwa hiari yake ameamua kujivua uanachama na kuacha nadhifa zake zote ikiwa ni pamoja na UBUNGE. What else does Job want?Mi binafsi niwapongeze hao CILAO Kwa kuweza kufuatilia kwa ukaribu na kutuelimidha juu ya haki za kiraia.
Mmewaaeleza waaandishi wavhabari kuwa pamoja na Cecil Mwambe kutangaza kupitia vyombo vya habari Ni wazi atakuwa ameshapoteza uanachama wa chama chake na kupoteza sifa ya kuwa mbunge...
Hata majina yanakuwaga na utata!!! Fuatilia vizuriKitu pekee ninachoamini kwa mwanasiasa ni jina lake tu.
Utakufa tu wewe kabla hiyo siku unayoitaka ifike! Unafikiri Bunge linafanyakazi kwa kufuata habari za mitandaoni?Wamezidi kutudharau sijui kwakua wao walishajitwalia umungu wa chato IPO siku .
Inawezekana Spika hana katiba katika desk lake maana kabla ya uamuzi wake huu angeweza kuisoma ibara hii ya katiba kwanza....!!
Ama kama sivyo, kuna uwezekana idara ya sheria na katiba ya taasisi ya Bunge ina vilaza watupu wa sheria...
Bunge haliendeshwi kwa kufuata habari iliyotolewa kwenye vyombo vya habari. Kama Chadema hawakupeleka taarifa za kukoma kwa uanachama wake kwa Spika na Mkurugenzi wa Uchaguzi ili nafasi ya Ubunge itangazwe kuwa iko wapi mmeliwa. Chadema wengi ni mbumbumbu kweli wa kila kitu wamebaki na mapovu tuuu!!!Ni kesi muhimu sana, tatizo Je , Tuna Makakama? Kuna Makahama Kuu yenye ubavu was kukataa "amri kutoka juu"?
Concern yangu ni hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app