Usihangaike kutongoza Mwanamke Mzuri asiye na hisia na wewe. (Jinsi ya kutongoza.) Raha ya mapenzi kupendwa

if No, Vipi ukiwa na mimi.. ? Look at me, am handsome or not.?
Hapa ndipo nimeishia kusoma.

''Look at me, am handsome or not ''- Hakuna jibu la kweli utakalopata kutokana na hili swali, halina msingi, na kwa wanawake sio kigezo cha kumpenda Mwanaume.
 
Watakuja wajuba hapa kama mimi tutakwambia tafuta pesa [emoji851]kila mwanamke atakuwa na hisia na wewe!,wewe mwenyewe jiulize ukiwa na njaa kali utakuwa na hisia za mapenzi?
Uwe na hizo pesa na ujue kutomber ahh dunia yote inakua yakooo🤏🤏 🤏
 
I don't need a woman to love my money, I need her to love me.

1 Timotheo 6:10
[10]Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi.

Hajawahi kuumbwa mwanamke asiyekuwa na tamaa ya pesa!,never ever!Adam mwenyewe alikuwa peke yake ile hawa akachepuka na shetani!,kama unasikia sauti inakwambia kuna mwanamke atakuja kukupenda bila kitu kemea hilo ni pepo!
 
Amin nakuambia mkuu mwanamke akikupenda hatakosa mda wa kuwasiliana na wewe.
 
Mpangilio wa uzi wako ni wa hovyo kichizi.
Ungeishi zile aya za mwanzo mwanzo ungeeleweka zaidi ila huku mbele umejionesha kua wa mwanzo si wewe bali wa huku mwisho ndie wewe halisi.

All in all dem gogo so poaa
 
Kwanza tayari ameonesha hana hisia na wewe hakutaki ivyo bora kuchukua hamsini zako.
 
Hajawahi kuumbwa mwanamke asiyekuwa na tamaa ya pesa!,never ever!Adam mwenyewe alikuwa peke yake ile hawa akachepuka na shetani!,kama unasikia sauti inakwambia kuna mwanamke atakuja kukupenda bila kitu kemea hilo ni pepo!
Hahaaaa ety Hawa akachepuka na shetani
 
Daah! Ninashaka hata ukitongoza Huwa unatumia neno mala badala ya mara.Utapigwa sana vibuti mpaka ujifunze kiswahili kizuri. Unaonekana Mjanja lakini mrugaruga kiaina.Ushauri wangu tafta pesa mademu wapo wengi tu na hamna demu mgumu kama unapesa , sisi hata kutongoza tushasahau. Huwa tunaonesha feelings tu mtu anajaa kwenye 18 na unapanga siku ya kwenda kumbandua.
 
Nilidate na manzi hivi mtaani hapa badae nikajaa shtuka kumbe mke wa MTU alafu Yule Dada alikuwa anadata na Mimi kishenzi

Nishawahi muulizaga umeolewa or Una MTU akanijibu no yeye ni single mama kumbe kaolewa

Basi ikabidi Tu nibwage majanga naheshimu Sana ndoa za watu alafu mchizi (Mme wa huyo Dada) nachezaga naye boxing Gym

Ila wadada kwanini unajua umeolewa lakini bado fall Kwa MTU mwingine asee mtafanya wanaume Tupigane bure

Ila tuseme ukweli masingle mama na wadada waliowah kuwa kwenye ndoa they very special [emoji3589]

ILA WANANGU TUOE
 
hahahaaaa achana na videnti vyenye aibu aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…