Usihangaike na mwanamke asiyeweka nguvu kwenye Mahusiano yenu

Usihangaike na mwanamke asiyeweka nguvu kwenye Mahusiano yenu

Sio wewe tu, kiujumla ndoa itamshinda mwanamke aolewi na mwanaume ili aje kula au kulala
Mwanamke anaolewa na mwanaume sababu kubwa ni tendo la ndoa sasa hapati tendo la ndoa hakuna mahusiano hapo
We umenielewa.
 
Unawadanganya Sana Wana , Mwanamke kazi yake ni kushawishiwa , hakuna mwanamke mrembo ambaye Hana mtu , kazi kubwa iliyopo ni kumtoa huyo mtu ili wewe ukae , huwezi jua jamaa amenata kiasi gani , na huwez mtongoza tuu binti anakrupuka kukubalia akuonyeshe mapenzi ilihali kuna mwana kakaba angle zote....

Kama binti hajaolewa na haja zalishwa na umempenda komaa naye mana mahusiano aliyonayo yakiyumba kidogo tuu we unapata gap....

Kama mdada amekubali kuwasiliana na wewe japo ana mtu hyo ni hatua kubwa Sana Mzee labda kama haupo serious...

Ukiona binti ameolewa au anaelekea kuolewa huyo achana naye

Tatizo huwa mnachukulia mabinti wote ni Malaya Yani kama unasukuma mlevi vile , ni kushika huyoo twende ,
Mada inahusu waliotayari kwenye mahusiano sio waliokuwa stage ya kutongozana muwe munasoma mada.
 
Unawadanganya Sana Wana , Mwanamke kazi yake ni kushawishiwa , hakuna mwanamke mrembo ambaye Hana mtu , kazi kubwa iliyopo ni kumtoa huyo mtu ili wewe ukae , huwezi jua jamaa amenata kiasi gani , na huwez mtongoza tuu binti anakrupuka kukubalia akuonyeshe mapenzi ilihali kuna mwana kakaba angle zote....

Kama binti hajaolewa na haja zalishwa na umempenda komaa naye mana mahusiano aliyonayo yakiyumba kidogo tuu we unapata gap....

Kama mdada amekubali kuwasiliana na wewe japo ana mtu hyo ni hatua kubwa Sana Mzee labda kama haupo serious...

Ukiona binti ameolewa au anaelekea kuolewa huyo achana naye

Tatizo huwa mnachukulia mabinti wote ni Malaya Yani kama unasukuma mlevi vile , ni kushika huyoo twende ,
Dah pole sana…ila wanawake wanahitaji wanaume kama wewe wa kuwa nao kwenye mahusiano ambao watanyimwa tendo halafu wanahitaji wanaume vice versa yako wa kuwa nao kwenye kitanda
 
“Unachokitaka hukipati na anayekipata hakitumiii, hapo ndipo utapodata na masharti ya plan B”—Ng’wanamalundiiiii
 
Dah pole sana…ila wanawake wanahitaji wanaume kama wewe wa kuwa nao kwenye mahusiano ambao watanyimwa tendo halafu wanahitaji wanaume vice versa yako wa kuwa nao kwenye kitanda
Anayempa ndo mwanaume wake alaf wewe unayenyimwa ujue hajakukubalia japo huenda anakuelewa ,ipo hvyo yaan , hakuna mahusiano bila tendo
 
Hakika...
Dah!! Kwangu sijui itakuaje maana wote wanaweka nguvu na juhudi...
 
Achana na msemo kuwa "anakujaribu". Kama umejitahidi lakini yeye haoneshi kujali mahusiano, ujue unapoteza muda wako. Unatumika tu kupoteza muda. Pengine ana bwana wake anayempenda zaidi yako na anamjali kuliko wewe. Wapo wanawake ambao hawakukubali hata kama wewe ndiwe ungekuwa mwanaume pekee duniani.

Unapojitoa kwa mtu bila yeye kujitoa kwako, unajiumiza. Utaonekana hujiheshimu na hujakuwa. Pia unamzoesha huyo mtu kwamba, yeye hana haja ya kuhangaikia uwepo wako, anajua utakuja tu kwake au utajipendekeza tu.

Hatoona shida kukuendesha. Anajua kabisa huwezi kujiongoza, acha akupeleke anavyotaka. Mwisho wa siku, ukisema amekuumiza, unakua umekosea. Sababu kiukweli hakukuomba ujipendekeze kwake, ni wewe mwenyewe ulishindwa kujizuia.

Cha kufanya

Kuwa na mipaka na we mwenyewe.

Ujue ni wapi ukifikia unakua umejipendekeza.

Ujue ni wapi ukifikia unakua umeweka nguvu inavyostahili. Ili usijikute unaendeshwa. Sababu huna mipaka yako mwenyewe.

Kuna muda hautakiwi kukata tamaa.

Lakini juhudi zako lazima uone zina mwelekeo. Kama hazina matumaini/ mwelekeo ni heri uache na utafute kwingine.

Weka nguvu kwa wale wanaokukubali
Wapo wanaokukubali.

Wapo wanaotaka kuwa na wewe. Hao ndo uwaweke wa muhimu.

Ni rahisi kuelewana nao. Mahusiano yanakua rahisi.

Pia we mwenyewe badilika na ujiweke tayari kuwa na mtu mnaye-elewana.

Sababu unaweza mpata mtu rahisi kwako lakini ulishazoea vita huko nyuma. Hamtadumu.

Hivyo, jiheshimu na usikubali kuendeshwa/ kuburuzwa na mtu asiyekuelewa/ anayekunyonya.

Hakikisha mahusiano uliyopo mnaweka nguvu pamoja.
Vipi kwa mwanamke anayejitoa sana kwa mumewe na kumpenda lkn mwanaume haonyeshi kujali???
 
Back
Top Bottom