Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Vipi kwa mwanamke anayejitoa sana kwa mumewe na kumpenda lkn mwanaume haonyeshi kujali???
The same, unajua kuna mtu haoni dhamani yako mpaka utakapo ondoka? Mtu ambae haoni dhamani yako sasa, hata umjengee ghorofa hatoona.
Kwanza mwambie how you feel, lakini asipobadilika rudi nyumbani.
Asikutafuta endelea na maisha, akikutafuta weka terms zako or else usirudi tena.