Usihangaike na mwanamke asiyeweka nguvu kwenye Mahusiano yenu

Sio wewe tu, kiujumla ndoa itamshinda mwanamke aolewi na mwanaume ili aje kula au kulala
Mwanamke anaolewa na mwanaume sababu kubwa ni tendo la ndoa sasa hapati tendo la ndoa hakuna mahusiano hapo
We umenielewa.
 
Mada inahusu waliotayari kwenye mahusiano sio waliokuwa stage ya kutongozana muwe munasoma mada.
 
Dah pole sana…ila wanawake wanahitaji wanaume kama wewe wa kuwa nao kwenye mahusiano ambao watanyimwa tendo halafu wanahitaji wanaume vice versa yako wa kuwa nao kwenye kitanda
 
β€œUnachokitaka hukipati na anayekipata hakitumiii, hapo ndipo utapodata na masharti ya plan B”—Ng’wanamalundiiiii
 
Dah pole sana…ila wanawake wanahitaji wanaume kama wewe wa kuwa nao kwenye mahusiano ambao watanyimwa tendo halafu wanahitaji wanaume vice versa yako wa kuwa nao kwenye kitanda
Anayempa ndo mwanaume wake alaf wewe unayenyimwa ujue hajakukubalia japo huenda anakuelewa ,ipo hvyo yaan , hakuna mahusiano bila tendo
 
Hakika...
Dah!! Kwangu sijui itakuaje maana wote wanaweka nguvu na juhudi...
 
Vipi kwa mwanamke anayejitoa sana kwa mumewe na kumpenda lkn mwanaume haonyeshi kujali???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…