Usiichukulie poa Tanzania katika medani za kivita, walioijaribu walifutika

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,970
Tanzania ilipewa jukumu kubwa la kuongoza vikosi vya Umoja wa Mataifa huko DRC, 2013/14 kazi kubwa ya kuisambaratisha M23.
Kwa msioifahamu Tanzania vizuri,mwaka 2008 tulikuwa front line visiwa vya Comoro tukarejesha Amani ya ukanda ambapo napo aliibuka jamaa mmoja akaanza kudharau na kupuuzia heshima ya Bara la Africa..

Kwa msiojua historia mwaka 1978/1979 Tanzania tuliingia Uganda tukampiga nduli Iddi Amini Dada,ambaye by that time alikuwa anasaidiwa na Libya ya Gaddafi Katika silaha na fedha,the rest was history mnafahamu namna Mwalim alipotoa speech yake pale Karimjee hall,Sababu ya kumpiga ilikuwepo,Nia ilikuwepo na uwezo ulikuwepo hatukusubiri tamko la AU wala UN ila tuliilinda bendera ya Tafaifa yenye rangi nne....

Kwa msioifahamu Tanzania vizuri mwaka 2008 tuliongoza kamati maalumu ya usuluhishi wa Amani pale Kenya baada ya uchaguzi mkuu kumalizika zikaibuka vurugu baina ya wafuasi wa Odinga na hayati Mzee Mwaikibaki na kwa meza Ile ya diplomasia iliyosimamiwa na hayati Mkapa na Kenya ikarudi kuwa Taifa moja...

Kwa msioifahamu Tanzania,ndio Taifa ambalo linahusika kwa 100% juu ya Hali ya kisiasa na usalama wa msumbiji,kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi they know how Tanzania great HE IS....

Msioifahamu,Hiyo S Afrika mnayosemea,Zimbabwe,Uhuru wake ni matokeo ya Tanzania huru iliyoamua kupambana dhidi ya ubepari na ukoloni na hatimae kuyaletea Uhuru mataifa hayo ya kusini mwa jangwa la Sahara...

Nawashangaa ambao hawaoni cha kujivunia juu ya Tanzania,nawadharau Sana watu ambao ni blank minded they ignore the beautiful and powerful history ya Tanzania Katika UKANDA huu wa kusini mwa jangwa la Sahara,kwasababu hamjachagua kuiweka Tanzania ndani ya mioyo yenu..

Lastly Nendeni pale Malawi muwaulize juu ya umuhimu WA Tanzania Katika kulinda Amani ya UKANDA na mipaka na diplomasia!! Nimeandika haya kuwakumbusha vijana mnaofatilia siasa za mitandaoni bila field kuwa TANZANIA ndo Taifa pekee kusini mwa jangwa la Sahara ambalo linahistoria ya kuunganisha na kulinda umoja na mshikamano WA mataifa hayo,ndio maana ubeti WA Kwanza WA wimbo WA Taifa unasema

"MUNGU UBARIKI AFRIKA" Tunajua umuhimu wa Tanzania Afrika na AFRIKA inajua umuhimu wa Tanzania ndani ya uzao WA mama Afrika...
 
Sasa hivi tukivamiwa mfano na Kenya, au Rwanda kwa uongozi huu wa kisiasa tunaweza kweli kupambana?
 
Zama zimebadilika mkuu, hata Misri iliwahi kutawala dunia, Iran, Uturuki n.k ila leo hii mbele ya German, France, US wanakaa.

Tusiishi kwa kukariri maisha na kuogopana. Hizi nafasi zipatikane kwa haki, tuwekeze ktk sayansi na silaha bora za kisasa.
 
..tunaweza kushinda.

..kwani tulipowadunda m23 na Rwanda waziri wa ulinzi si alikuwa Husseni?

..Na Husseni alikwepa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria?

..ushanfahamu?
Tanzania haijawahi kupigana na Rwanda either in Congo or somewhere else, acha uwongo
 
..tunaweza kushinda.

..kwani tulipowadunda m23 na Rwanda waziri wa ulinzi si alikuwa Husseni?

..Na Husseni alikwepa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria?

..ushanfahamu?

Tukiwaachia wanajeshi wafanye maamuzi tunaweza kushinda ila tukiwaachia hawa wanasiasa, sina uhakika.

Hussein Mwinyi ni mtulivu japo unasema alikwepa JKT. Kikwete alikuwa mwanajeshi, Mkapa, JPM hawakuwa watu wa kuyumbishwa.
 
Tanzania ilipewa jukumu kubwa la kuongoza vikosi vya Umoja wa Mataifa huko DRC, 2013/14 kazi kubwa ya kuisambaratisha M23.
Kwa msioifahamu Tanzania vizuri,mwaka 2008 tulikuwa front line visiwa vya Comoro tukarejesha Amani ya ukanda ambapo napo aliibuka jamaa mmoja akaanza kudharau na kupuuzia heshima ya Bara la Africa..

Kwa msiojua historia mwaka 1978/1979 Tanzania tuliingia Uganda tukampiga nduli Iddi Amini Dada,ambaye by that time alikuwa anasaidiwa na Libya ya Gaddafi Katika silaha na fedha,the rest was history mnafahamu namna Mwalim alipotoa speech yake pale Karimjee hall,Sababu ya kumpiga ilikuwepo,Nia ilikuwepo na uwezo ulikuwepo hatukusubiri tamko la AU wala UN ila tuliilinda bendera ya Tafaifa yenye rangi nne....

Kwa msioifahamu Tanzania vizuri mwaka 2008 tuliongoza kamati maalumu ya usuluhishi wa Amani pale Kenya baada ya uchaguzi mkuu kumalizika zikaibuka vurugu baina ya wafuasi wa Odinga na hayati Mzee Mwaikibaki na kwa meza Ile ya diplomasia iliyosimamiwa na hayati Mkapa na Kenya ikarudi kuwa Taifa moja...

Kwa msioifahamu Tanzania,ndio Taifa ambalo linahusika kwa 100% juu ya Hali ya kisiasa na usalama wa msumbiji,kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi they know how Tanzania great HE IS....

Msioifahamu,Hiyo S Afrika mnayosemea,Zimbabwe,Uhuru wake ni matokeo ya Tanzania huru iliyoamua kupambana dhidi ya ubepari na ukoloni na hatimae kuyaletea Uhuru mataifa hayo ya kusini mwa jangwa la Sahara...

Nawashangaa ambao hawaoni cha kujivunia juu ya Tanzania,nawadharau Sana watu ambao ni blank minded they ignore the beautiful and powerful history ya Tanzania Katika UKANDA huu wa kusini mwa jangwa la Sahara,kwasababu hamjachagua kuiweka Tanzania ndani ya mioyo yenu..

Lastly Nendeni pale Malawi muwaulize juu ya umuhimu WA Tanzania Katika kulinda Amani ya UKANDA na mipaka na diplomasia!! Nimeandika haya kuwakumbusha vijana mnaofatilia siasa za mitandaoni bila field kuwa TANZANIA ndo Taifa pekee kusini mwa jangwa la Sahara ambalo linahistoria ya kuunganisha na kulinda umoja na mshikamano WA mataifa hayo,ndio maana ubeti WA Kwanza WA wimbo WA Taifa unasema

"MUNGU UBARIKI AFRIKA" Tunajua umuhimu wa Tanzania Afrika na AFRIKA inajua umuhimu wa Tanzania ndani ya uzao WA mama Afrika...
Lete matokeo halisi ya sasa kutoka ugenini GOMA.
 
Back
Top Bottom