Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kujifanya kufagia barabarani ili kuwatisha chademaKuwawinda wapinzani wa CCM hapa Tanganyika ndicho wanachoweza.
Wapambanaji ni walewale,vikosi ni vile vile,mbinu mpya,vijana wapya,damu mpyaSasa hivi tukivamiwa mfano na Kenya, au Rwanda kwa uongozi huu wa kisiasa tunaweza kweli kupambana?
Acha ujinga.Huwa nawashangaa sana wanaolikuza hili jeshi dhaifu la Tz.Kati ya majeshi dhaifu ni hili la Tz.
Na ndo hicho mlichofanya dhidi ya M23. Mliwaua lakini sasa wamerejea kwa kupata vijana wengine.Wapambanaji ni walewale,vikosi ni vile vile,mbinu mpya,vijana wapya,damu mpya
JWTZ ukiichokonoa kidogo,inakufuata siyo chumbani tu,itainua hadi kitanda na kusaka hata mende na kunguni
Atakaegusa Tanzania,atafanywa kitu ambacho hadi vitukuu hawatosahau
Hii mission inabidi waiondoe kutoka chapter VI kwenda chapter VIi ya UN charter.Mission ilikuwa ya kulinda amani wao wakajipa mamlaka ya kuteka na kuwaua M23.
M23 waasi hawa ni wa kizazi kipya walioasi jeshini baada ya wenzao wengine,ila wanatamba kwa sababu hawajapata mtu wa kuwafinya na kuwapa dozi kidogo,mbona watavua magwanda wakimbie,wakifinywa kidogo tu,watapoteaNa ndo hicho mlichofanya dhidi ya M23. Mliwaua lakini sasa wamerejea kwa kupata vijana wengine.
Nendeni mkaue na hao pia
Na ndo hicho mlichofanya dhidi ya M23. Mliwaua lakini sasa wamerejea kwa kupata vijana wengine.
Nendeni mkaue na hao pia
Vinyongo vya Banyamulenge havitomalizwa kwa risasi na mabomu. Sana sana mkifanya hivyo mtaendeleza uasi vizazi hadi vizazi kama kule ukanda wa Gaza!M23 waasi hawa ni wa kizazi kipya walioasi jeshini baada ya wenzao wengine,ila wanatamba kwa sababu hawajapata mtu wa kuwafinya na kuwapa dozi kidogo,mbona watavua magwanda wakimbie,wakifinywa kidogo tu,watapotea
Mkuu usichukulie poa hili geshi letu.Siyo kwa hawa wanajeshi wanywa gongo na wenye vitambi.
Tupo vizuri sana...Embu tuingie Pale GOMA iwe kama kupiga Tizi ili Tutest ubora wetuTanzania ilipewa jukumu kubwa la kuongoza vikosi vya Umoja wa Mataifa huko DRC, 2013/14 kazi kubwa ya kuisambaratisha M23.
Kwa msioifahamu Tanzania vizuri,mwaka 2008 tulikuwa front line visiwa vya Comoro tukarejesha Amani ya ukanda ambapo napo aliibuka jamaa mmoja akaanza kudharau na kupuuzia heshima ya Bara la Africa..
Kwa msiojua historia mwaka 1978/1979 Tanzania tuliingia Uganda tukampiga nduli Iddi Amini Dada,ambaye by that time alikuwa anasaidiwa na Libya ya Gaddafi Katika silaha na fedha,the rest was history mnafahamu namna Mwalim alipotoa speech yake pale Karimjee hall,Sababu ya kumpiga ilikuwepo,Nia ilikuwepo na uwezo ulikuwepo hatukusubiri tamko la AU wala UN ila tuliilinda bendera ya Tafaifa yenye rangi nne....
Kwa msioifahamu Tanzania vizuri mwaka 2008 tuliongoza kamati maalumu ya usuluhishi wa Amani pale Kenya baada ya uchaguzi mkuu kumalizika zikaibuka vurugu baina ya wafuasi wa Odinga na hayati Mzee Mwaikibaki na kwa meza Ile ya diplomasia iliyosimamiwa na hayati Mkapa na Kenya ikarudi kuwa Taifa moja...
Kwa msioifahamu Tanzania,ndio Taifa ambalo linahusika kwa 100% juu ya Hali ya kisiasa na usalama wa msumbiji,kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi they know how Tanzania great HE IS....
Msioifahamu,Hiyo S Afrika mnayosemea,Zimbabwe,Uhuru wake ni matokeo ya Tanzania huru iliyoamua kupambana dhidi ya ubepari na ukoloni na hatimae kuyaletea Uhuru mataifa hayo ya kusini mwa jangwa la Sahara...
Nawashangaa ambao hawaoni cha kujivunia juu ya Tanzania,nawadharau Sana watu ambao ni blank minded they ignore the beautiful and powerful history ya Tanzania Katika UKANDA huu wa kusini mwa jangwa la Sahara,kwasababu hamjachagua kuiweka Tanzania ndani ya mioyo yenu..
Lastly Nendeni pale Malawi muwaulize juu ya umuhimu WA Tanzania Katika kulinda Amani ya UKANDA na mipaka na diplomasia!! Nimeandika haya kuwakumbusha vijana mnaofatilia siasa za mitandaoni bila field kuwa TANZANIA ndo Taifa pekee kusini mwa jangwa la Sahara ambalo linahistoria ya kuunganisha na kulinda umoja na mshikamano WA mataifa hayo,ndio maana ubeti WA Kwanza WA wimbo WA Taifa unasema
"MUNGU UBARIKI AFRIKA" Tunajua umuhimu wa Tanzania Afrika na AFRIKA inajua umuhimu wa Tanzania ndani ya uzao WA mama Afrika...
Kwani si ni zama hizi hizi za uongozi unaouita wa kisiasa huuhuu kuleSasa hivi tukivamiwa mfano na Kenya, au Rwanda kwa uongozi huu wa kisiasa tunaweza kweli kupambana?