Usiichukulie poa Tanzania katika medani za kivita, walioijaribu walifutika

Diplomasia ni utekelezaji wa makubaliano ya Arusha Haki za watusi na wahutu ziangaliwe, sio za wasuti tu
 
Kwani si ni zama hizi hizi za uongozi unaouita wa kisiasa huuhuu kule
Mtwara kwenye border yetu na msumbiji Jeshi letu limefanya kazi iliyotukuka??
Yep, tukisaidiwa na SADC na Rwanda walioenda nyumbani ndani kabisa nyumbani kwao magaidi na kuwateketeza magaidi wote. Hadi sasa RPF wapo Msumbiji.
 
Tanzania ilipewa jukumu kubwa la kuongoza vikosi vya Umoja wa Mataifa huko DRC, 2013/14 kazi kubwa ya kuisambaratisha M23.
Kwa msioifahamu Tanzania vizuri,mwaka 2008 tulikuwa front line visiwa vya Comoro tukarejesha Amani ya ukanda ambapo napo aliibuka jamaa mmoja akaanza kudharau na kupuuzia heshima ya Bara la Africa..

Kwa msiojua historia mwaka 1978/1979 Tanzania tuliingia Uganda tukampiga nduli Iddi Amini Dada,ambaye by that time alikuwa anasaidiwa na Libya ya Gaddafi Katika silaha na fedha,the rest was history mnafahamu namna Mwalim alipotoa speech yake pale Karimjee hall,Sababu ya kumpiga ilikuwepo,Nia ilikuwepo na uwezo ulikuwepo hatukusubiri tamko la AU wala UN ila tuliilinda bendera ya Tafaifa yenye rangi nne....

Kwa msioifahamu Tanzania vizuri mwaka 2008 tuliongoza kamati maalumu ya usuluhishi wa Amani pale Kenya baada ya uchaguzi mkuu kumalizika zikaibuka vurugu baina ya wafuasi wa Odinga na hayati Mzee Mwaikibaki na kwa meza Ile ya diplomasia iliyosimamiwa na hayati Mkapa na Kenya ikarudi kuwa Taifa moja...

Kwa msioifahamu Tanzania,ndio Taifa ambalo linahusika kwa 100% juu ya Hali ya kisiasa na usalama wa msumbiji,kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi they know how Tanzania great HE IS....

Msioifahamu,Hiyo S Afrika mnayosemea,Zimbabwe,Uhuru wake ni matokeo ya Tanzania huru iliyoamua kupambana dhidi ya ubepari na ukoloni na hatimae kuyaletea Uhuru mataifa hayo ya kusini mwa jangwa la Sahara...

Nawashangaa ambao hawaoni cha kujivunia juu ya Tanzania,nawadharau Sana watu ambao ni blank minded they ignore the beautiful and powerful history ya Tanzania Katika UKANDA huu wa kusini mwa jangwa la Sahara,kwasababu hamjachagua kuiweka Tanzania ndani ya mioyo yenu..

Lastly Nendeni pale Malawi muwaulize juu ya umuhimu WA Tanzania Katika kulinda Amani ya UKANDA na mipaka na diplomasia!! Nimeandika haya kuwakumbusha vijana mnaofatilia siasa za mitandaoni bila field kuwa TANZANIA ndo Taifa pekee kusini mwa jangwa la Sahara ambalo linahistoria ya kuunganisha na kulinda umoja na mshikamano WA mataifa hayo,ndio maana ubeti WA Kwanza WA wimbo WA Taifa unasema

"MUNGU UBARIKI AFRIKA" Tunajua umuhimu wa Tanzania Afrika na AFRIKA inajua umuhimu wa Tanzania ndani ya uzao WA mama Afrika...
Nimeamini Jamii forum kuna wanajeshi wengi wa JWTZ, yaani kila siku ni propaganda la kusifia jeshi
 
Kwa hao Islamist wa msumbiji, jumuia ya kimataifa inaipa credit Rwanda, kuwa jeshi lao ndio limewafukuza hao jamaa na sio TZ, Hadi sasa kuna Askari wa Rwanda msimbiji kwa ajili

Yep, tukisaidiwa na Rwanda walioenda nyumbani ndani kabisa nyumbani kwao magaidi na kuwateketeza magaidi wote. Hadi sasa Rwanda wapo Msumbiji.
Kwahiyo, jeshi la Rwanda ndio lilikuwa upande wetu wa Mtwara? Kwanini hatutaki kuliheshimu jeshi letu aseee? So sad for our country.
 
Mission ya Msumbiji ilianzia ndani ya Msumbiji majeshi ya SADC ikwemo Afrika kusini yalipambana baadaye kwa msaada wa Rwanda wakamaliza kazi. Kazi kubwa sana ilifanywa ndani ya Msumbiji kuliko mpakani. Ikabaki kazi ya kufagia mpakani.

Tunaliheshimu ndio maana tunataka lipewe uongozi bora kuanzia juu kabisa hadi wizarani. Ili liwe na uzalendo, uadilifu na kujitolea maisha yako inabidi liwe na viongozi makini, wazalendo na waadilifu.

Unafikiri sasa hivi yakitokea mambo ya MKIRU yatazimwa chapchap na viongozi tulionao sasa?
 
Tanzania ilipewa jukumu kubwa la kuongoza vikosi vya Umoja wa Mataifa huko DRC, 2013/14 kazi kubwa ya kuisambaratisha M23.
Kwa msioifahamu Tanzania vizuri,mwaka 2008 tulikuwa front line visiwa vya Comoro tukarejesha Amani ya ukanda ambapo napo aliibuka jamaa mmoja akaanza kudharau na kupuuzia heshima ya Bara la Africa..

Kwa msiojua historia mwaka 1978/1979 Tanzania tuliingia Uganda tukampiga nduli Iddi Amini Dada,ambaye by that time alikuwa anasaidiwa na Libya ya Gaddafi Katika silaha na fedha,the rest was history mnafahamu namna Mwalim alipotoa speech yake pale Karimjee hall,Sababu ya kumpiga ilikuwepo,Nia ilikuwepo na uwezo ulikuwepo hatukusubiri tamko la AU wala UN ila tuliilinda bendera ya Tafaifa yenye rangi nne....

Kwa msioifahamu Tanzania vizuri mwaka 2008 tuliongoza kamati maalumu ya usuluhishi wa Amani pale Kenya baada ya uchaguzi mkuu kumalizika zikaibuka vurugu baina ya wafuasi wa Odinga na hayati Mzee Mwaikibaki na kwa meza Ile ya diplomasia iliyosimamiwa na hayati Mkapa na Kenya ikarudi kuwa Taifa moja...

Kwa msioifahamu Tanzania,ndio Taifa ambalo linahusika kwa 100% juu ya Hali ya kisiasa na usalama wa msumbiji,kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi they know how Tanzania great HE IS....

Msioifahamu,Hiyo S Afrika mnayosemea,Zimbabwe,Uhuru wake ni matokeo ya Tanzania huru iliyoamua kupambana dhidi ya ubepari na ukoloni na hatimae kuyaletea Uhuru mataifa hayo ya kusini mwa jangwa la Sahara...

Nawashangaa ambao hawaoni cha kujivunia juu ya Tanzania,nawadharau Sana watu ambao ni blank minded they ignore the beautiful and powerful history ya Tanzania Katika UKANDA huu wa kusini mwa jangwa la Sahara,kwasababu hamjachagua kuiweka Tanzania ndani ya mioyo yenu..

Lastly Nendeni pale Malawi muwaulize juu ya umuhimu WA Tanzania Katika kulinda Amani ya UKANDA na mipaka na diplomasia!! Nimeandika haya kuwakumbusha vijana mnaofatilia siasa za mitandaoni bila field kuwa TANZANIA ndo Taifa pekee kusini mwa jangwa la Sahara ambalo linahistoria ya kuunganisha na kulinda umoja na mshikamano WA mataifa hayo,ndio maana ubeti WA Kwanza WA wimbo WA Taifa unasema

"MUNGU UBARIKI AFRIKA" Tunajua umuhimu wa Tanzania Afrika na AFRIKA inajua umuhimu wa Tanzania ndani ya uzao WA mama Afrika...
Sahihi kabisa la kujivunia tunalo lakini kwa aina hii ya uongozi wa sasa si muda mrefu tutasema "the rest is history"
 
Tunaliheshimu ndio maana tunataka lipewe uongozi bora kuanzia juu kabisa hadi wizarani. Ili liwe na uzalendo, uadilifu na kujitolea maisha yako inabidi liwe na viongozi makini, wazalendo na waadilifu.
Hii ni hoja very delusional na misleading. Kwakuwa wewe haukubaliani na uongozi uliopo kutoka juu hadi wizarani (nadhani hapa unamjumlisha na CDF) unaconclude kwa kusema jeshi letu halina uwezo. You cant be serious. Lazima tukubaliane uongozi unaweza kubadilika lakini Jeshi letu ni lile lenye uzalendo mkubwa, weledi na ubora. Watu wanaweka maisha yao kwenye line oli wewe upate space ya kulidogosha hivi. Sio sawa ndugu yangu.
Unafikiri sasa hivi yakitokea mambo ya MKIRU yatazimwa chapchap na viongozi tulionao sasa?
How sure are you hayo hayajayokea??unadhani yapo mangapi yanaendelea na siai raia hatuyajui?? Mfano operation ya mpkani mtwara ilivyokuwa kubwa na nzito kuna raia wako kagera hata hawaijui, it wasnt reported, ndiyo maana ni rahisi kwako kusema ilikuwa operation ya kufagia border tu, right kama ukipata nafasi y kukaa na wenzetu waliopo kwenye border hiyo utajua kazi inayofanywa na wapiganaji wetu hawa, itikadi zetu za kisiasa zisifanye tukaona jeshi letu ni bovu. Kimbuka kaili hizo zinasomwa na vijana watarajiwa watakaojiunga jeshini kama sio leo kesho, wataingia na hofu, kama inferior na inaweza kutengeneza jeshi dhaifu.

Duniani, kila nchi hufanya propaganda poaitive kuhusu majeshi yao, Mfano hollywood wanatengeneza movie za kusifia uwezo wa Jeshi la US unaweza ogopa hata kunzisha vita, lakini je huko vitani hayapigwi? Wanashinda vita zote? No way but propaganda ni kuwa they have the best Army. Sisi wabongo sasa, kila siku kuponda jeshi letu na kusifia la Rwanda. So sad
 
Wapi nimesema jeshi halina uwezo? Unajua kusoma vizuri au mihemuko ya kitoto imekujaa.

Tulia, Nisome vizuri tena taratibu. Usikurupuke kuleta vitu kutoka kichwani mwako. Vuta pumzi soma tena taratibu. Kusema lisaidiwe kwa ngazi ya wizarani na uongozi wa juu ndio kulifanya liwe dogo kwa kuweka viongozi makini, wazalendo, waadilifu, wanaolithamini jeshi na wanaojua wanachokifanya ndio sababu ya povu lako lote hili?

Tukiwa na huyu Command in Chief na huyu waziri wa ulinzi wa sasa vita kubwa itokee hawa ndio viongozi tunaowategemea ukiwa mwanajeshi utakuwa na morali gani. Waziri hata darubini hajua kuishika sawasawa, teuzi ya hovyo, mtu asiye na utaalumu na uzoefu husika.

You called yourself smart dude?
 
Wapi nimesema jeshi halina uwezo? Unajua kusoma vizuri au mihemuko ya kitoto imekujaa.
Bado hujajibu hoja; jielekeze kwenyebhoja ndugu. Umeacha hoja, you were the first tk react kwenye post yangu and thought this could be a good ride, but look at this “out of context”
Tulia, Nisome vizuri tena taratibu. Usikurupuke kuleta vitu kutoka kichwani mwako. Vuta pumzi soma tena taratibu. Kusema lisaidiwe kwa ngazi ya wizarani na uongozi wa juu ndio kulifanya liwe dogo kwa kuweka viongozi makini, wazalendo, waadilifu, wanaolithamini jeshi na kujua wanaojua wanachokifanya ndio sababu ya povu lako lote hili?
Again out of context; changamoto kubwa hii tunayo kama watanzania. Umelaumu the whole system sipervising the Army, na I am on point kwenye reply yangu. Ukiwa na mashaka na viongozi wanaoongoza jeshi unajustfy kuwa jeshu ketu sasa haliwezi kufanya kazi yake ipasavyo na kwa tafsiri yangu mwenyewe unamaanisha ni dhaifu. Bahati nzuri kesi ya Mtwara naijua kwa kiasi, kwa benefit ya kuishi border.
You called yourself smart dude?
Again, atacking a person or personality. Jikite kwenye mada. Tunaweza kuwa na mitazamo tofauti lakini tunajadili na kubishana kwa hoja. This is what makes JF the best platform. Kwenye hoja za msingi kama hizi hatutukanani, we dont attack each other, we dont monopolize the truth na tunajifunza pia. Take that.
 
Bado hujajibu hoja; jielekeze kwenyebhoja ndugu. Umeacha hoja, you were the first tk react kwenye post yangu and thought this could be a good ride, but look at this “out of context”

Again out of context; changamoto kubwa hii tunayo kama watanzania. Umelaumu the whole system sipervising the Army, na I am on point kwenye reply yangu. Ukiwa na mashaka na viongozi wanaoongoza jeshi unajustfy kuwa jeshu ketu sasa haliwezi kufanya kazi yake ipasavyo na kwa tafsiri yangu mwenyewe unamaanisha ni dhaifu. Bahati nzuri kesi ya Mtwara naijua kwa kiasi, kwa benefit ya kuishi border.

Again, atacking a person or personality. Jikite kwenye mada. Tunaweza kuwa na mitazamo tofauti lakini tunajadili na kubishana kwa hoja. This is what makes JF the best platform. Kwenye hoja za msingi kama hizi hatutukanani, we dont attack each other, we dont monopolize the truth na tunajifunza pia. Take that.
Ngoja nikuwekee kirahisi mara nyingine in black and white wewe kichwa ngumu kuelewa japo unajiita smart dude.

Nina mashaka na viongozi wa kiraia wanoongoza JWTZ, waziri wa ulinzi na amiri jeshi mkuu. Tukipata changamoto, vita kubwa hawa kutuongoza. Jeshi kama jeshi halina shida likiachwa kutoa maamuzi au kupewa viongozi wazuri wizarani litakuwa imara zaidi. Umeelewa smart dude?

Ni kama ninavyoweza kusema nina mashaka wa uwezo wako wa kusoma na kuelewa kilichoandikwa. Unazunguka mbuyu Smart dude.
 
Ninarudi palepale you keep
Attacking badala y kujibu hoja; katika argument hii sio sawa. Do not try to monopolize the facts and the understanding, kuwa wewe unaelewa kuliko wenzako.
Nina mashaka na viongozi wa kiraia wanoongoza JWTZ, waziri wa ulinzi na amiri jeshi mkuu. Tukipata changamoto, vita kubwa hawa kutuongoza. Jeshi kama jeshi halina shida likiachwa kutoa maamuzi au kupewa viongozi wazuri wizarani litakuwa imara zaidi. Umeelewa smart dude?
Kwenye post # 69 haya yalikuwa sehemu y majibu yangu, tell me yana tofauti ipi na hiki unachosema unakifafanua hapa? “Hii ni hoja very delusional na misleading. Kwakuwa wewe haukubaliani na uongozi uliopo kutoka juu hadi wizarani (nadhani hapa unamjumlisha na CDF) unaconclude kwa kusema jeshi letu halina uwezo. You cant be serious. Lazima tukubaliane uongozi unaweza kubadilika lakini Jeshi letu ni lile lenye uzalendo mkubwa, weledi na ubora. Watu wanaweka maisha yao kwenye line oli wewe upate space ya kulidogosha hivi. Sio sawa ndugu yangu.” AU ULICHOANDIKA HAPA KINA TOFAUTI IPI NA NILICHOSEMA Nikiwa nachangia againat hoja yako???
Ni kama ninavyoweza kusema nina mashaka wa uwezo wako wa kusoma na kuelewa kilichoandikwa. Unazunguka mbuyu Smart dude.
Iko on point ndugu yangu; kma una mashaka na uwezo wa viongozi waliopo; kwa lugha rahisi viongozi hao ni wawili tu (nje ya jeshi - ni Amir Jeshi Mkuu, na Waziri wa Ulinzi) ndani ya Jeshi ni CDF. Hoja yako ilikuwa clear na mchango wangu ulireact on that—- narudia tena jikite kwenye hoja. Unaweza fikisha ujumbe wako bila
Kumuattack your colleague in reasoning.
 
1738524947323.png
 
Tanzania ilipewa jukumu kubwa la kuongoza vikosi vya Umoja wa Mataifa huko DRC, 2013/14 kazi kubwa ya kuisambaratisha M23.
Kwa msioifahamu Tanzania vizuri,mwaka 2008 tulikuwa front line visiwa vya Comoro tukarejesha Amani ya ukanda ambapo napo aliibuka jamaa mmoja akaanza kudharau na kupuuzia heshima ya Bara la Africa..

Kwa msiojua historia mwaka 1978/1979 Tanzania tuliingia Uganda tukampiga nduli Iddi Amini Dada,ambaye by that time alikuwa anasaidiwa na Libya ya Gaddafi Katika silaha na fedha,the rest was history mnafahamu namna Mwalim alipotoa speech yake pale Karimjee hall,Sababu ya kumpiga ilikuwepo,Nia ilikuwepo na uwezo ulikuwepo hatukusubiri tamko la AU wala UN ila tuliilinda bendera ya Tafaifa yenye rangi nne....

Kwa msioifahamu Tanzania vizuri mwaka 2008 tuliongoza kamati maalumu ya usuluhishi wa Amani pale Kenya baada ya uchaguzi mkuu kumalizika zikaibuka vurugu baina ya wafuasi wa Odinga na hayati Mzee Mwaikibaki na kwa meza Ile ya diplomasia iliyosimamiwa na hayati Mkapa na Kenya ikarudi kuwa Taifa moja...

Kwa msioifahamu Tanzania,ndio Taifa ambalo linahusika kwa 100% juu ya Hali ya kisiasa na usalama wa msumbiji,kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi they know how Tanzania great HE IS....

Msioifahamu,Hiyo S Afrika mnayosemea,Zimbabwe,Uhuru wake ni matokeo ya Tanzania huru iliyoamua kupambana dhidi ya ubepari na ukoloni na hatimae kuyaletea Uhuru mataifa hayo ya kusini mwa jangwa la Sahara...

Nawashangaa ambao hawaoni cha kujivunia juu ya Tanzania,nawadharau Sana watu ambao ni blank minded they ignore the beautiful and powerful history ya Tanzania Katika UKANDA huu wa kusini mwa jangwa la Sahara,kwasababu hamjachagua kuiweka Tanzania ndani ya mioyo yenu..

Lastly Nendeni pale Malawi muwaulize juu ya umuhimu WA Tanzania Katika kulinda Amani ya UKANDA na mipaka na diplomasia!! Nimeandika haya kuwakumbusha vijana mnaofatilia siasa za mitandaoni bila field kuwa TANZANIA ndo Taifa pekee kusini mwa jangwa la Sahara ambalo linahistoria ya kuunganisha na kulinda umoja na mshikamano WA mataifa hayo,ndio maana ubeti WA Kwanza WA wimbo WA Taifa unasema

"MUNGU UBARIKI AFRIKA" Tunajua umuhimu wa Tanzania Afrika na AFRIKA inajua umuhimu wa Tanzania ndani ya uzao WA mama Afrika...

View: https://youtu.be/_UMeoJwKX_U?si=ZDfs8iCTEsSVKW30
 
Itoshe kusema hatuna wasiwasi na JWTz inatuheshimisha. Kwa wasiojia na wanaletewa propoganda za mitandaoni TPDF ni Army na sio Military hapa sitoi ufafanuzi, na kuwa haliko Kisiasa,ni complex kama ilivyo TISS kwa hiyo wanaona ziko kisiasa wasikosolewe hiyo ni minor angle waliotumia kuchungulia.
Huu ndio ukweli HATUTANZISHA vita na moja ya jirani zetu abadan ila tutadefend interest za nchi yetu to the last drop of our blood na interest za wanaoteswa ikihitajika.
Ukweli sisi tuko pale adui yetu katika maziwa makuu na kusini mwa Afrika alipo.
Humu kuna propoganda kwa kutumia media nyingi
Ikiwa itabidi japo tunaepusha tuta act na whoever itakuwa ameamua uwe mwisho wake ameamua ku commit suicide mikono mwetu.
Narudia sisi ni Army and not Military. Tupo alipo in a dominant state as dead one, lkn tuuko hai ikiwa ataruhusu.
Watu kwenye Mwamvuli wa kimataifa na sheria zake, ni kama tuko kugombelezea tunaweza kuumizwa kwa ugomvi wa wengine tukijaribu kuwatetea ndugu zetu wasigombane.
Vita sio NZURI, NI YA KUEPUKA KWA GHARAMA ZOTE.
Na Mapigano ni zaidi wa ukubwa wa Jeshi yaani rasilimali watu, ni zaidi ya zana bora na teknolojia ni zaidi ya kuwa safi kiuchumi ndio maana Israeli inasumbua, USA alifeli na Viet, Afaghans
Viva TPDF/ JWTZ, viva wa Tz
Ngoja tusubiri hatua DAMU YA HATIA MIKONO
 
Binafsi sina uvumilivu - ningekuwa kiongozi damu za watanzania waliouawa DRC na M23 kwa usaidizi wa nchi ya Rwanda muda huu kombania kadhaa zingekuwa mpaka wa Rusumo

Ilitakiwa tutoe onyo kali kwa historia yetu baada ya ile ya Uganda
 
Back
Top Bottom