Usiichukulie poa Tanzania katika medani za kivita, walioijaribu walifutika

Mkuu usichukulie poa hili geshi letu.
Kuna mjeda mmoja maeneo flani alinipa maelezo namna walivyowatandika wale wa MKIRU hadi niliogopa.
Mkuu simulizi siku zote hutiwa chumvi.

Wanajeshi wetu ni mahiri kwa kumwaga vyakula vya mama ntilie na kuzima maandamano ya chadema tu.

Lkn kwenye vita serious hakuna kitu, kila mwaka wanachezea kichapo kwa M23.
 
Naheshimu maoni yako mkuu.
Jiulize hivi wale wa MKIRU waliishia wapi?
Na vipi kule mpakani na Msumbiji vipi?
Jeshi letu ni imara ila kwa mtazamo wangu labda TISS ndo wakuongeza zaidi maarifa ya kutafuta taarifa ili tuwe salama zaidi
 
Hawezi kukujibu
 
Kichocheo cha hayo uliosema ni siasa safi na uongozi Bora. Tuzingatie hilo
 
Na ndo hicho mlichofanya dhidi ya M23. Mliwaua lakini sasa wamerejea kwa kupata vijana wengine.
Nendeni mkaue na hao pia
Hawakuuwawa, kuna siraha moja ya urusi ya miaka ya 60, ilimkimbiza Idd Amin Kagera, sauti yake radi inaingia mara mia,. M23 walifikiri wamepigwa na bomu la nuclear, walitoka mbio hadi Rwanda wakasahau magari, soiaha hadi mateka wao, sasa hivi hawawezi kukimbia
 
Kwani si ni zama hizi hizi za uongozi unaouita wa kisiasa huuhuu kule
Mtwara kwenye border yetu na msumbiji Jeshi letu limefanya kazi iliyotukuka??
Kwa hao Islamist wa msumbiji, jumuia ya kimataifa inaipa credit Rwanda, kuwa jeshi lao ndio limewafukuza hao jamaa na sio TZ, Hadi sasa kuna Askari wa Rwanda msimbiji kwa ajili hio
 
Inamalizwa kwa social science
Social science ni turudi kwenye Mkataba wa Amani wa Rwanda uliofanyika Arusha ambao hakutekelezwa baada ya mauwaji ya Raisi Habyerimana, na RPF kuchukua Madaraka. nyaraka za mkataba wa Amani wa Rwanda zipo.
 
Duuuh
 
Warudi kwenye hiyo njia. Tofauti na hapo uasi utaendelea sana huo ukanda wa Maziwa Makuu
 
Aliyesuluhisha ule mgogoro wa Kenya nakumbuka alikuwa JK wa Msoga, naona kuna mpaka mtaa pale Nairobi waliupa jina kwa heshima ya JK.
 
Warudi kwenye hiyo njia. Tofauti na hapo uasi utaendelea sana huo ukanda wa Maziwa Makuu
Hilo ndio tatizo kuu, na Paka kulitumia Congo linampa faida kuu tatu, moja na kuwaghilibu mataifa ya Nje kwamba watusi wanaonewa, na drc na waliotekeleza mauwaji ya halaiki na kuwa nyima nafasi wanaompinga Paka nafasi ya kuongea awe ndani ya Rwanda au nje ya Rwanda, pili nafasi ya kupora mali za Congo yaani madini, tatu ikitokea nafasi ni kupora ardhi ya Congo, kwa kuchukua hiyo Kivu. Na hawa bahima sio wa Rwanda tu Bali pia wa nchi Jirani. Na hao bahima wakisha chukua Kivu na madini yake, itawawezesha kuwa na jeshi lenye nguvu na uwezo wa kifedha ku itawala urundi na kwa mamluki drc na ikiwezekana Tanganyika.
 
Unaleta habari za 19 century nyie pasueni tofali wahuni wana choma vibanda na drones
 
Mikwala ya kizamani
Jeshi tangu liingie kwenye siasa
Limepwaya....jeshi liamrishwa na viongozi wa chama fulani

Ova
 
Unaleta habari za 19 century nyie pasueni tofali wahuni wana choma vibanda na drones
Na ngj itokee siku watu waidai kagera 😄
Nchi hii inataka ipate amshaamshaa

Ova
 
Muda wa history na kale kwisha habari yenu. M23 kala vichwa vya wavunja tofari uko
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Iko wazi. Target yao kuu ni Tanganyika.
Jamaa wanatuonaga kama maboya fulani hivi! Tuna bonge la ardhi yenye rasilimali za kila namna lakini bado masikini wenye maendeleo duni!
 
..tunaweza kushinda.

..kwani tulipowadunda m23 na Rwanda waziri wa ulinzi si alikuwa Husseni?

..Na Husseni alikwepa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria?

..ushanfahamu?
Tanzania hatuna adui ukanda huu.....wala hatuhitaji kuwa nao.

Diplomasia ndio suluhisho la kudumu kwa mzozo wa Drc na Rwanda/M23.

Tresor Mandala
 
Sio hii TZ hii chini ya mla urojo kutoka mchambawima, yeye akiamka anawaza kipi kimebaki Tanganyika akipige mnada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…