Nawasubiri.wanakuja
Kweli,Usiingie kwenye ndoa kama huwezi kuwa mwaminifu
Hii ni movie?Ndoa inapaswa kuheshimiwa na watu wote.
Inasiktiisha na kuhuzunisha mwanaume kulea watoto wasio wake na pia Inasiktiisha mwanamke/ mwanaume kuletewa magonjwa yasiyotibika kwasababu mwenza wake hakuwa mwaminifu.
Kama unajijua huwezi kujizuia , usioe wala kuolewa, we danga tu.
Nimemaliza.
View attachment 3115283
Hapana ni cases huko nchini Marekani.H
Hii ni movie?
Endelea na maisha ya udangaji.Usitupangie
Kabisa kaka , imagine unapata UKIMWI kupitia mwenza wako wa ndoa yaani.Ulichokisema ni kweli ila binadam ni watu wabishi sana. Ndoa kwa sasa imegeuka kuwa sababu ya kuwatanguliza watu kwenye nyumba zao za milele.
Asante .Nakubaliana na wewe
Sikubaliani na hili kwa mtazamo wangu. Kuwa na mke mmoja tu kwangu imekaa poa.Kwa mwanaume, ndoa ni mitala, hizo nyingine ni kuijaribu asili.
Hao ndo wanaokosea. Hawajitambui.Siyo kila mtu anaingia kwenye ndoa kwa sababu anapenda, wengine wanafanya hivyo ili kutoa kutoa Nuksi tu...
Ni kweli ila tunashukuru Teknolojia kutupa awareness.Msidhani Wazee wetu walikuwa hawa-cheat, ndiyo maana walikuja na msemo kwamba "Kitanda hakizai haramu"
Useme miaka hii Teknolojia ndiyo inatuumbua
Maana unaweza kudate na bibiye Kwa Siri, lakini mwenzio akaanza kukuweka Whatsapp status ama Instagram ili Dunia ijue kwamba she is dating you.