Usiingie kwenye ndoa kama huwezi kuwa mwaminifu

Usiingie kwenye ndoa kama huwezi kuwa mwaminifu

Sieger

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2022
Posts
3,180
Reaction score
7,521
Ndoa inapaswa kuheshimiwa na watu wote.

Inasiktiisha na kuhuzunisha mwanaume kulea watoto wasio wake na pia Inasiktiisha mwanamke/ mwanaume kuletewa magonjwa yasiyotibika kwasababu mwenza wake hakuwa mwaminifu.

Kama unajijua huwezi kujizuia , usioe wala kuolewa, we danga tu.

Nimemaliza.

Msidhani Wazee wetu walikuwa hawa-cheat, ndiyo maana walikuja na msemo kwamba "Kitanda hakizai haramu"

Useme miaka hii Teknolojia ndiyo inatuumbua

Maana unaweza kudate na bibiye Kwa Siri, lakini mwenzio akaanza kukuweka Whatsapp status ama Instagram ili Dunia ijue kwamba she is dating you.
 
H

View attachment 3115283
Hii ni movie?
 
Ulichokisema ni kweli ila binadam ni watu wabishi sana. Ndoa kwa sasa imegeuka kuwa sababu ya kuwatanguliza watu kwenye nyumba zao za milele.
Kabisa kaka , imagine unapata UKIMWI kupitia mwenza wako wa ndoa yaani.
Na muda mwingine unakuta huna hata kosa linalompa sababu ya yeye kutoka nje.
 
Siyo kila mtu anaingia kwenye ndoa kwa sababu anapenda, wengine wanafanya hivyo ili kutoa kutoa Nuksi tu...
Hao ndo wanaokosea. Hawajitambui.
Upendo usipokuwepo, hata malezi ya watoto yatakuwa mabovu.
 
Msidhani Wazee wetu walikuwa hawa-cheat, ndiyo maana walikuja na msemo kwamba "Kitanda hakizai haramu"

Useme miaka hii Teknolojia ndiyo inatuumbua

Maana unaweza kudate na bibiye Kwa Siri, lakini mwenzio akaanza kukuweka Whatsapp status ama Instagram ili Dunia ijue kwamba she is dating you.
Ni kweli ila tunashukuru Teknolojia kutupa awareness.
 
Sasa hivi inatakiwa watu tukubaliane na hali tu,kua na mke au mume mwaminifu kwako kwa asilimia mia,ni ngumu sana,maana mke anakua mwaminifu,mume anakua mzinzi au vice versa.
Jambo lingine ni max,huwezi kukuta mtu anaishi kama kisiwa,lazima ukute ana maingiliano na wenza wengine,hivyo kumuachanisha,asahau kilakitu,haiwezekani,atamisi tu.
 
Back
Top Bottom