Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #21
wewe ndio ujibu sasa unayetoa hoja,sio kujibu kwa swali?
Mimi nimekuambia sio kila mtu anajihusisha na siasa.
Wewe ukasema hakuna asiyejihusisha na siasa na ukadai umetoa hoja. Mimi nimetoa maoni.
Sasa ndio nikakuuliza unajua maana ya kujihusisha na siasa? Au nini maana ya kujihusisha na siasa?
Kama huwezi unasema siwezi au sitaki