Ma oppotrtunists huwa wana mbinu nyingi za kutetea maslahi yao !
Utadhani wapo na wanaotetea haki kumbe wanatetea maslahi yao !
Utawasikia wanasema kwenye siasa ni lazima uangalie masilahi yako ya Uchumi kwanza 😁
Maana yake ukubali hata kununuliwa ikibidi ili kwanza uchumi uwe bora mengine yatakuja baadaye 😳 !
Eti ugomvi wa wazazi huwa hauingiliwi !
Mfano hauhusiani kabisa na masuala ya Siasani ! Kwa sababu Wazazi na kizazi chao ni jamii ndogo sana huwezi kuilinganisha na jamii kubwa iliyopo kwenye Siasa !