Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #21
unapimaje uzuri au ubaya wa mwanamke?
Kila MTU anakipimo chake lakini pia kuna vipimo vya jumla.
unapimaje uzuri au ubaya wa mwanamke?
Wachache wasio na akili timamu! Ukashindwe kutengeneza familia unaishi kwa probabilities kisa uonekane una mwanmke mzuri? Huna akili🚮Huwezi elewa. Haya mambo ni kwa wachache
Mwana anawafundisha uhuni vijana
Binafsi nimeona aya 40, siyo pointi 40.Points 40 bado tunasubiri ufafanuzi upi?
Mtibeli una personalities mbili.Kuna yule anayeandika mambo yenye manufaa na kuna mwingine anaandika utumbo tu.
Pale kati sio mchezo bwashee 😃Siku hizi mapenzi yamekua na wachambuzi kama Mpira!
Mwanamke ni Mwanamke tu, muhimu kipochi manyoya kiwepo tu bwasheeMwana anawafundisha uhuni vijana
Mwana mshamba sanaWachache wasio na akili timamu! Ukashindwe kutengeneza familia unaishi kwa probabilities kisa uonekane una mwanmke mzuri? Huna akili🚮
Nyie vijana wadogo GEN Z hamjui Maisha mna less life experience.
Mwanamke wa kumzalisha haraka haraka ni yule mwenye akili kubwa kichwani .
Kwakuwa atakuwa na uwezo wa ku-secure future ya watoto wenu .
Kigezo cha uzuri sio kigezo pekee cha kuzaa na MTU
Au kumpa mbegu yako ni hatari
Azae watatu soko lake huko nje liwe zero? Aina nyingine ya bima ya kudumuKwani ushamuwekea Msalaba. Kiburi cha mwanamke kinaenda chini.
Mi nafikiri tungempa mda afafanue ni uzuri gani anaouzungumzia.
Pengine tafsiri yake ya uzuri haijaegemea moja kwa moja kwenye muonekano.
Lakini Sister Abigail Nikki wa pili kukutwa na tatizo lolote haimaanishi na wengine wakifanya hivyo watakutwa na hilo.Hata Nikki wa pili aliona hivhivi..
Muulizeni kilichomkuta!
Kwanini bible inawaambia kuishi nasi Kwa akili?
Sitetei uovu na naupinga ila ...
Azae watatu soko lake huko nje liwe zero? Aina nyingine ya bima ya kudumu
Nakufatilia kwa karibu sana.Huwezi muoa mwanamke ambaye sio mzuri.
Sasa itategemea uzuri uliouangalia ni UPI?
Nimesikitika sana
😆😆 Duh!Kwenye mada nimeshaeleza mbona.
Uzuri unajulikana.
Nimetaja pisikali, mwenye hadhi, elimu na kipato.
Sijui ana kwama wapi mzee!Mwana mshamba sana