G
guest-1793599959
Guest
Ni udhaifu mkubwa sana kwa mwanaume Rijali,Kwani bwashee kupata kitonga ni vibaya
Ni udhaifu mkubwa sana kwa mwanaume Rijali,Kwani bwashee kupata kitonga ni vibaya
Inasikitisha sana, nchi kuwa na mavijana matahira kama haya.. bado yanaishi kwenye dhama za zamadamu
Mnafanya maisha yawe magumu sana bwasheeNi udhaifu mkubwa sana kwa mwanaume Rijali,
Naona una hasira utanichosha! Endelea kutoa lecture za kushobokea pisi kali na kuzizalisha😂Kikawaida mimi ninakujibu unavyokuja. So usitegemee ukae mbele ya kioo ucheke alafu kioo kikuonyeshe unalia.
Sijakataa wewe kutoa mtazamo wako. Ila mimi natumia mtazamo wako kukujibu vile ulivyokuja.
Tukirudi kwenye wewe ukoje. Wala sihitaji kukuona kujua ukoje. Kwani kile unachokipinga ndicho kiashiria ambacho unaonyesha hauna au unakitafuta.
So sio hisia zangu kusema wewe sio mzuri. Bali ni kile ulichokionyesha hapa.
Ushamba siwezi kuacha kwa sababu mimi ni mtoto wa shamba na mkulima. Sasa were kama umekulia mjini utajua mwenyewe
Unajieleza sana ndugu mchambuzi😄😄
Kwamba mbinu za kimedani ni uhuni?
Wewe unafikiri kuishi na mwanamke mzuri utatumia mbinu zilezile za wanawake wakawaida.
Mwanamke mzuri, au mwenye pesa, au mwenye cheo mbinu za kumtiisha zinatofautiana na mwanamke wakawaida. Weka akili hiyo.
Kumbuka utii sio Jambo naturally
Ni udhaifu mkubwa sana kwa mwanaume Rijali,
Waambie hao mazumbukuku!Mwanamke hatulizwi kwa mimba
Kuoa ni Jambo moja.
Kudumu kwenye ndoa tena na mwanamke mzuri ni Jambo jingine.
Mimi mada Yangu inazungumzia mwanamke mzuri ambaye unaishi naye Moja ya njia ya kuweka uwezekano na ugumu wa ndoa kuvunjika ni kuzaa watoto hasa kuanzia wawili.
Hii watu wengi ambao hawajaishi na wazee lazima wabishi. Kuna Ombwe la Mahusiano ya vijana na Baba na Babu zao. Ndio maana hapa wengi wanashangaa Jambo nililozungumzia wakati ni Jambo linalofahamika kwa watu wengi walioishi na Wazee na Baba zao
Hajiamini, anatumia nguvu nyingi!Unajieleza sana ndugu mchambuzi
Naona una hasira utanichosha! Endelea kutoa lecture za kushobokea pisi kali na kuzizalisha😂
Mwambolie kakako mtobeli anything can happenunaweza jiona umemkomoa mwanamke Kwa kumzalisha huku kumbe unalea watoto sio wako.unageuka mkomolewajiLakini Sister Abigail Nikki wa pili kukutwa na tatizo lolote haimaanishi na wengine wakifanya hivyo watakutwa na hilo.
Mimi hasira humu? Umekosea njia mwayaHasira ulianza nazo wewe. Nikakupeleka hukohuko uliko juu. Sasa naona umekaa Sawa unaweza kujadili hoja. Lakini kama utaamua kubaki juu mimi nitapanda juu yako ili ujue kuwa sio wewe pekee mwenye hasira.
Kuhusu kushobokea pisikali na kuzizalisha bado upo palepale kuonyesha hauna kile ambacho unakitajataja kwa hasira.
Ungekuwa pisikali na unashobokewa hapa usingekuja kuleta povu.
Saikolojia inaonyesha hapa, wewe sio pisikali. Alafu unawivu kuona watu(mimi) ninashoboka na pisikali.
Yes kama upstairs , na mwonekano wa nje yupo vzr na ana potential kubwa , basi utakuwa sahihi .
Ila kigezo cha uzuri wa sura na shape sio kigezo sahihi.
Hapa Tanzania 85% ya watu wake hawajaelimika kwahiyo ukitaka mtoto lazima ujiondoe ktk ubinafsi unabidi umtaftie mtoto mama Bora anayejitambua ambaye yupo well equipped to handle the life .
Uzuri wa sura na shape ni kukidhi matamanio yako ya kingono ila mtoto anabidi apate mama Smart anayejitambua sana
Badala ya kusema kijana azalishe mwanamke nzuri ungefafanua in details kuwa ni uzuri upi upo targeted, tabia , sura , umbo au akili n.k
Awe mwanamke au mwanaume akili ndo kigezo namba Moja the rest ni nyongeza.Mkuu asije akakudanganya mtu.
Mwanamke utakayemuoa lazima awe mzuri. Hicho ni kigezo cha Kwanza. Asije akakudanganya mtu.
Pili, lazima awe na heshima na utii kwako. Sasa hapa ndipo Akili ya mwanaume huonekana. Mwanamke hawezi kukuheshimu na kukutii bure kwa sababu heshima sio kitu cha bure. Lazima mwanaume awe na akili na mwenye kusimamia majukumu yake.
Tatu, mwanamke lazima awe mchapakazi na mwenye akili ya maisha. Hii ji kwaajili yake, nyumba yake na watoto wake.
Na mambo engine.
Hata Quran inaeleza hayo.
Moja ya mambo mwanaume atafeli ni kushindwa kujua hayo anapoanzisha familia.
Nakubaliana uzuri sio kigezo pekee kama ilivyo akili sio kigezo pekee.
Kuna muunganiko wa set
Sawa.kwahiyo hapo itategemea nani kamzidi mwenzie akili si ndio😄Mwanamke ni kiumbe dhaifu sana ambaye hana uwezo wa kutazama mbali
Na yupo kihisia zaidi kwahiyo ili ku-deal nae lazima umtumie akili .
Mfano ni Hawa single mother wanavyoteseka wanazaa watoto ambao hawana baba na hawamjui baba sahihi wa mtoto wanabaki kubeti.
So usipotumia akili ku-deal na mwanamke ni either atakuumiza au utamuumiza
Ni kama walivyo bodaboda usipotumia akili na umakini unaweza kuwa unaua boda boda Mmoja barabarani .
Kwahiyo kukaa na MTU mjinga ni lazima wewe akili yako isilale kwakuwa mjinga Huwa hawazi mbali.
Mimi hasira humu? Umekosea njia mwaya
Wewe unajuaje mi ni mwanamke? Hivi una kichaa? Eti nishobokewe, nishobokewe kutiwa? Unahisi ni raha sana na wewe uje kujaribu?
Duhh hujielewi wewe hebu nipishe huko!