ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Naomba kwanza tofauti ya mwanamke mzuri na mbaya
Ni vigezo gan hutumika kujua huyu ni Pis
Ni vigezo gan hutumika kujua huyu ni Pis
Hua hawataki kuzaa nasisitiza hua hawataki kuzaa kabisa wanahisi watachuja haraka kwa hio wanataka wagongwe tu bila kuzaa rejea kesi ya Wema na marehemu Kanumba
Naomba kwanza tofauti ya mwanamke mzuri na mbaya
Ni vigezo hutumika kujua huyu ni Pis
Nisikilizeni mwanaume wa ukweli hakai ukweni
Kaka umenipiga za usoKwenye maisha sio Kila kitu utaambiwa. Ukiona tuu hivi nafsi yako itakuambia mambo ambayo duniani unaweza usiambiwe
Ni majinga, ndo maana vilio haviishi, Lipo tu hapo linaitwa na mtoto wa mwenzie Uncleeee, uncleee, Mpe wadogo zake huyo uncleee uone kama hilo jina litaendelea.Tatizo hawaelewi masomo madogo kama haya.
Mtu umemkuta single mother labda anamtoto mmoja. Bado anakupangia Siku ya kumtia mimba. Aiseeh!
Mtie mimba watoto wako wawe wengi. Kisha relax
Mchambuzi wa mapenzi kwenye Moja na mbili😂Nisikilizeni mwanaume wa ukweli hakai ukweni
Ni majinga, ndo maana vilio haviishi, Lipo tu hapo linaitwa na mtoto wa mwenzie Uncleeee, uncleee, Mpe wadogo zake huyo uncleee uone kama hilo jina litaendelea.
Jamaa ni miyeusho sana huyu chambuzi la mchongoHajiamini, anatumia nguvu nyingi!
Kaka umenipiga za uso
Anyway sawa
Yeah nakumbuka hio ishawahi nitokea pia ila ni mimi ndio niliekataa yaan manzi alikua anataka nimtie kimimba na kipindi hicho yupo hot mimi nikachomoa tunafika mbele kafika kwenye peak nikasema sasa huu ndio wakati manzi hataki anaona ataharibu uzuri wake nikasema sio kesi kwaa hio weengi hua wanakataa kuzaa😆😆😆
So mpaka umzalishe inahitaji uwe very very smart umzidi hesabu.
Hawataki wazae wengi ili wajiweke kwenye nafasi nzuri ya kubalance power yako.
Wengine wanatoa matumizi mpaka mama mtu anarudi kwa mzazi mwenzie kumhadithia namna mtoto wao alivyo na bahati.😃😃 Wanamapenzi yamihemko Sana mauncle
Unataka kusemaje tukuwekee picha?Hakunaga mwanamke mzuri
My brother ☺️Najua wewe ni mrembo. Na dalili ya MTU mrembo au mzuri Hana wivu na wanawake wenzake kwamba anajiamini yeye ni mzuri na wapo wengine wazuri kama yeye.
Ukishaona unawaonea wivu wanawake wengine jua akili yako imeona wamekuzidi.
Mara nyingi uzuri unaanzia akilini sio moyoni
Yeah nakumbuka hio ishawahi nitokea pia ila ni mimi ndio niliekataa yaan manzi alikua anataka nimtie kimimba na kipindi hicho yupo hot mimi nikachomoa tunafika mbele kafika kwenye peak nikasema sasa huu ndio wakati manzi hataki anaona ataharibu uzuri wake nikasema sio kesi kwaa hio weengi hua wanakataa kuzaa
Hakunaga mwanamke mzuri mkuu labda ni ugeni wako tu mjini,point pekee uliyoandika ni kujihami ukiishi na mwanamke muda wowote kinawaka so kama hukijapanga kwa vita anguko lake kuinuka tena ni nadra