Usiishi na Mwanamke Mzuri kisasa. Mzalishe chapuchapu angalau watoto wawili, watatu. Huna hasara hata mkiachana

Usiishi na Mwanamke Mzuri kisasa. Mzalishe chapuchapu angalau watoto wawili, watatu. Huna hasara hata mkiachana

Hahaha uchungu, kwahiyo wote wanaokupinga hapa mimi ndio pisi mbovu? Kina Mbaga Jr Vincenzo Jr BEZO JR et al hawana wivu kasoro mimi? Sawa, endelea kukazia labda itanibadili uhalisia wangu🤸🏽‍♀️

Bado huelewi kitu, wapo wanaume wengi tu wanaandika kike na wanawake kiume! Au we ni muha?

Am so damn relaxed hunny bunny!

Sijajisikia tu kupandishana leo, wala usijisifu sana huo ujinga! Ntakutapikia hapa utabaki unashangaa!

Wabheja sana!!
Huyu jamaa leo amepanda mtumbwi Wa vibwengo na hii mada yake
 
Na wale vilizi wa single mothers, ukitaka kupunguza kilio mzalishe watoto wa kutosha huyo single mother wako, vilizi wengi ni wale pendapenda wanaotaka kutunza mwanamke kama pambo wakati mwenyewe anapenda mimba.
Uko sahihi sana
 
😆😆😆 Leo ni Leo. Leo kazi ipo. Kwamba sasa Seran anataka kuwa mwanaume na kumuoa Mtibeli.
Njoo unioe basi.
Ila ujue kabisa licha ya kunioa watoto wachapuchapu lazima ujiandae nao
Labda mimba utabeba wewe mi sina pa kupitishia hao watoto!
 
My dear utaangukia pua… maisha yanakutaka unadilike kulingana namuda unavyoenda… Maisha ya sasa sio kama zamani baba anakaa balazani analetewa kahawa na mkewe. Nowadays wanawake wanapambana kutokaa ndani.. uyo wa kumzalisha hvyo bila future atakua jinga na uzazi wa mpango umejaa bure 😆😆😆
 
Wewe kweli ni mpumbavu na mkosa akili yaani unaogopa kuachwa na mwanamke kiasi cha kuamua kumzalisha watoto hovyoo na kujiongezea majukumu..lowest iQ ever!
 
Back
Top Bottom