Usiishi na Mwanamke Mzuri kisasa. Mzalishe chapuchapu angalau watoto wawili, watatu. Huna hasara hata mkiachana

Usiishi na Mwanamke Mzuri kisasa. Mzalishe chapuchapu angalau watoto wawili, watatu. Huna hasara hata mkiachana

Hata Nikki wa Pili aliona hivihivi..
Muulizeni kilichomkuta!

Kwanini Bible inawaambia kuishi nasi Kwa akili?
Sitetei uovu na naupinga ila ...

Sasa kama kamzalisha watoto zaidi ya wawili Nikki Hana hasara isipokuwa faida.

Labda kama watoto sio Wake.
Nazungumzia Love and marriage mathematics ambayo sio Kila mtu anaziweza au anazizingatia
 
Hata Nikki wa pili aliona hivhivi..
Muulizeni kilichomkuta!


Kwanini bible inawaambia kuishi nasi Kwa akili?
Sitetei uovu na naupinga ila ...

Mwanamke ni kiumbe dhaifu sana ambaye hana uwezo wa kutazama mbali

Na yupo kihisia zaidi kwahiyo ili ku-deal nae lazima umtumie akili .

Mfano ni Hawa single mother wanavyoteseka wanazaa watoto ambao hawana baba na hawamjui baba sahihi wa mtoto wanabaki kubeti.

So usipotumia akili ku-deal na mwanamke ni either atakuumiza au utamuumiza

Ni kama walivyo bodaboda usipotumia akili na umakini unaweza kuwa unaua boda boda Mmoja barabarani .

Kwahiyo kukaa na MTU mjinga ni lazima wewe akili yako isilale kwakuwa mjinga Huwa hawazi mbali.
 
Unatoa siri zetu

Mimi nashangaa vijana wajinga alafu wengi ndio wanakuwa wakwanza kulialia na kulilia mapenzi.

Unawapa Codes yanapiga mayowe.
Hivi mwanamke aliyekuzalia watoto watatu akatataka kukuacha zaidi ya kumshukuru kwa maisha Yake na humdai. Ukamruhusu aendelee na maisha yake kwa Amani. Kitakachokuumiza ni kitu gani?
 
Wachache wasio na akili timamu! Ukashindwe kutengeneza familia unaishi kwa probabilities kisa uonekane una mwanmke mzuri? Huna akili🚮

Wewe kama ni Mbaya utajua mwenyewe na ubaya wako.
Subiri wanaume wa type yako Bibie.
Kwamba kwa vile wewe Mbovu unataka Sisi wanaume tusiweke vigezo vya wanawake wazuri kisa nini?

Usione Wivu ukiona baadhi ya wanaume wanataka Wanawake wazuri na wewe sio mmoja wao.
Wapo pia wanaume wanapenda wanawake kama wewe. So take easy.

Kuhusu mada, ipo nje ya ufahamu wako ndio maana unaniona sina Akili.
 
Mimi nashangaa vijana wajinga alafu wengi ndio wanakuwa wakwanza kulialia na kulilia mapenzi.

Unawapa Codes yanapiga mayowe.
Hivi mwanamke aliyekuzalia watoto watatu akatataka kukuacha zaidi ya kumshukuru kwa maisha Yake na humdai. Ukamruhusu aendelee na maisha yake kwa Amani. Kitakachokuumiza ni kitu gani?
Kutoka kuwa mchambuzi wa siasa now umekuwa chambuzi la malavidavi kutoka kusini mwa jangwa la sahara
 
Mimi nashangaa vijana wajinga alafu wengi ndio wanakuwa wakwanza kulialia na kulilia mapenzi.

Unawapa Codes yanapiga mayowe.
Hivi mwanamke aliyekuzalia watoto watatu akatataka kukuacha zaidi ya kumshukuru kwa maisha Yake na humdai. Ukamruhusu aendelee na maisha yake kwa Amani. Kitakachokuumiza ni kitu gani?

MTU anabidi asiwe scared na kuachwa na mwanamke

Mambo kama haya ya kupiga mimba ndo yanaleta watoto wasio na baba .

Uzuri wa sura na shape sio kigezo cha kumshawishi MTU kuzaa haraka haraka na mwanamke
 
Anadhani sisi ni wahuni eti anatuchukulia poa

😄😄
Kwamba mbinu za kimedani ni uhuni?

Wewe unafikiri kuishi na mwanamke mzuri utatumia mbinu zilezile za wanawake wakawaida.
Mwanamke mzuri, au mwenye pesa, au mwenye cheo mbinu za kumtiisha zinatofautiana na mwanamke wakawaida. Weka akili hiyo.
Kumbuka utii sio Jambo naturally
 
Wewe kama ni Mbaya utajua mwenyewe na ubaya wako.
Subiri wanaume wa type yako Bibie.
Kwamba kwa vile wewe Mbovu unataka Sisi wanaume tusiweke vigezo vya wanawake wazuri kisa nini?

Usione Wivu ukiona baadhi ya wanaume wanataka Wanawake wazuri na wewe sio mmoja wao.
Wapo pia wanaume wanapenda wanawake kama wewe. So take easy.

Kuhusu mada, ipo nje ya ufahamu wako ndio maana unaniona sina Akili.
Umesoma jibu langu kwa mihemko! Umeambiwa wewe ndio huna akili? Kuhusu uzuri au ubaya wangu, hizo ni hisia zako tu! Kujibu mada kwa mtazamo wangu haioneshi mimi nikoje acha ushamba!
 
MTU anabidi asiwe scared na kuachwa na mwanamke

Mambo kama haya ya kupiga mimba ndo yanaleta watoto wasio na baba .

Uzuri wa sura na shape sio kigezo cha kumshawishi MTU kuzaa haraka haraka na mwanamke

Kuoa ni Jambo moja.
Kudumu kwenye ndoa tena na mwanamke mzuri ni Jambo jingine.

Mimi mada Yangu inazungumzia mwanamke mzuri ambaye unaishi naye Moja ya njia ya kuweka uwezekano na ugumu wa ndoa kuvunjika ni kuzaa watoto hasa kuanzia wawili.

Hii watu wengi ambao hawajaishi na wazee lazima wabishi. Kuna Ombwe la Mahusiano ya vijana na Baba na Babu zao. Ndio maana hapa wengi wanashangaa Jambo nililozungumzia wakati ni Jambo linalofahamika kwa watu wengi walioishi na Wazee na Baba zao
 
Umesoma jibu langu kwa mihemko! Umeambiwa wewe ndio huna akili? Kuhusu uzuri au ubaya wangu, hizo ni hisia zako tu! Kujibu mada kwa mtazamo wangu haioneshi mimi nikoje acha ushamba!

Kikawaida mimi ninakujibu unavyokuja. So usitegemee ukae mbele ya kioo ucheke alafu kioo kikuonyeshe unalia.

Sijakataa wewe kutoa mtazamo wako. Ila mimi natumia mtazamo wako kukujibu vile ulivyokuja.

Tukirudi kwenye wewe ukoje. Wala sihitaji kukuona kujua ukoje. Kwani kile unachokipinga ndicho kiashiria ambacho unaonyesha hauna au unakitafuta.

So sio hisia zangu kusema wewe sio mzuri. Bali ni kile ulichokionyesha hapa.

Ushamba siwezi kuacha kwa sababu mimi ni mtoto wa shamba na mkulima. Sasa were kama umekulia mjini utajua mwenyewe
 
Back
Top Bottom