Usijaribu kufanya biashara za ahadi na wabongo utaumia (Promissory Notes)

Wabongo hatuna nidhamu ya pesa na wala hatujali mara baada ya kutatuliwa shida zetu. Akina na shida anatoa huruma anaweza piga hata magoti.
Yaani uswahili haufai kabisa kwenye hela za watu.
 
Mdaiwa akiwa anaijua sheria vyema, askari ni mchumba tuu, wala hamtishi...wewe niambie ni draft vizuri mkataba wa kukopesha.
Sasa unamkopesha mwanasheria utakuwa na akili kweli? Kopesha layman mwenye hela zake.
 
Duu
 


Juzi nilikua mpakani mwa Kenya huko.kuna biashara nilikua nafanya moyo tu ukaniambia niseme ukwel natokea moro ...wakaniambia ungesema unatokea Dar tungekataa kufanya mishe na ww watu wa Dar mikoani wanaogopwa mnoo! Inasemekana ni matapeli konky! Kitu mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…