Mkuu dawa yao ni kwenda kwenye ofisi yake unabeba Mali yoyote ya thaman ambayo inalingana na pesa unayomdai au kama hana ofisi Nenda nyumbani kwake mwambie nabeba kitanda na godolo . atakulipa fasta.
Mm kuna jamaa nilimpa kuku bloila Wa thaman ya tsh lakni tano na kienyeji Wa shilingi laki mbili yeye ana baa na jiko safi sana lakn baada ya kumpa akaahidi baada ya siku tatu atanilipa ajabu yake zikapita wiki mbili hamna hela kila nikimpgia simu Mara oooh corona biashara mbaya.
Nikaona isiwe taabu nikaenda jikon kuangalia kuku nikakuta kamaliza nilichofanya nikaita kilikou nikamwambia nipe makreti yote ya bia zote nilitaka nisafishe kaunta nzima pamoja na friji la jikon .. Aisee akaniambia subiri hapahapa lisaa limoja hela yako nakupa sijui alienda kuitoa wapi baada ya lisaa akanipa hela yangu..
Wabongo wakati mwingne lazma ufanye maamuzi magumu ubayaubaya tu