Usijaribu kufanya biashara za ahadi na wabongo utaumia (Promissory Notes)

Yani uswahili haufai kabisa kwenye hela za watu.
Hakuna biashara mbovu kama kufanya na watu wasio na nidhamu ya pesa na pia kuheshimu makubaliano. Ni bora ukawa na customers wako 10 mkafanya biashara kwa nidhamu. Sisi wengine tunasubiri ufilisike tuanza kukunaga kitaa ilhali sisi ndio chanzo cha kufilisika kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
je ukifanya hvo afu akakuitia police kwamba umemletea "vurugu " (au umemvamia) kwny eneo lake la biashara?
 
nilazima tukope tudaiwe na tusumbue kulipa, kifupi nitunatoa ahadi ambazo hatuna uhakika nazo.
Tunakua wajasir hatuogopi kufilisiwa, polis lawama wala hatutaki kuishi comfortable.

Mtaani tunasema ili mwanaume akamilike nilazima udaiwe. Atamahari kwa mkwe pia tunalipia nusu inayobaki unapiga sound
 
Yani jau sana mwanangu mwenyewe...Sema nn nimejifunza kitu mkuu! Sahivi mikazo ntakayowapa walimwengu Nduli Iddi Amini akasome. Wacha niitwe roho mbaya kmmmk maana roho za kikristo zinaturudisha nyuma sana wabongo.

Ku deal na wapuuzi ni ushwaini!
 
Sio biashara tu, kukopeshana pia ndio mwanzo wa ndugu kugombana na urafiki kufa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…