Kutaneni huko huko mikoani!Na sisi tuliofika DSM kuoa?
Turudi tulikotoka?
Sawa lakini I'm into that wedding betting game,acha niweke beautiful odds .Ndio rudi Bush.
Tatizo wabaguzi sana.Kutaneni huko huko mikoani!
Mmmh hio mlandizi sio dar, kwanza dar chai hatunywi ni juice na kachori na sambusaWatu wa Dar, wanaishi maisha magumu sana.. Chai yenyewe wanakunywa saa saba mchana.
Kweli kabisa.Watu wa Dar, wanaishi maisha magumu sana.. Chai yenyewe wanakunywa saa saba mchana.
na sukari wanaweka ushahidi tu naikolei😂Watu wa Dar, wanaishi maisha magumu sana.. Chai yenyewe wanakunywa saa saba mchana.
Ni wanawake tu au na wanaume wanakunywa juice na kachori?Mmmh hio mlandizi sio dar, kwanza dar chai hatunywi ni juice na kachori na sambusa
Mmmh hio mlandizi sio dar, kwanza dar chai hatunywi ni juice na kachori na sambusa
• 😬😬, poleni sana,Kweli kabisa.
Mimi hapa sijanywa chai bado na sina hiyo ratiba kwa leo😌
😂😂😂• 😬😬, poleni sana,
• ivi ule ugali wa Dar ni baga ya sembe au? Maana niliwahi kula sahani tatu, lakini sikushiba aise,
Tabu tupu, alafu wanasindikizia na kaandazi kamoja.na sukari wanaweka ushahidi tu naikolei😂
Kwani kachori huwa zinatengenezwa kwa ajili ya wanawake?🤣🤣🤣hii nchi kuna watu wana maswali ya kipumbav saaNi wanawake tu au na wanaume wanakunywa juice na kachori?