Usije Dar kwasababu ya kuolewa

Usije Dar kwasababu ya kuolewa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Kumekuwa na Tabia ya wanawake wa Mkoani wanapokuja Dar kutaka kupata Mume wa kumuoa.

Hii tabia ipo sana kwa Wanafunzi wa Vyuo vikuu na Mabeki 3.

Ningependa kuwaambia kuwa hilo lengo lenu sio sahihi, na mnajidanganya kwa kiasi kikubwa.

Ukitoka mkoa uje Dar kwa malengo mengine na sio kuolewa.
 
Waje tu soko lao liko juu. Tumechoka na hawa wa nitumie hela ya .......
Halafu wana filter nyingi
.
Artificial beauty
Zije za kienyeji hawa bloiler basi
 
Mmmh hio mlandizi sio dar, kwanza dar chai hatunywi ni juice na kachori na sambusa
Kweli kabisa.

Mimi hapa sijanywa chai bado na sina hiyo ratiba kwa leo😌
• 😬😬, poleni sana,

• ivi ule ugali wa Dar ni baga ya sembe au? Maana niliwahi kula sahani tatu, lakini sikushiba aise,
 
Back
Top Bottom