FEBIANI BABUYA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 1,916
- 3,850
Pole sana mkuuImajini mkeo anakulaan usifanikiwe na mmezaa watoto kisa umeuza magunia 50 ya mpunga wakati kazi yake ilikuwa kuwalipa vibarua na bado umebakiza magunia 250
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app