Usije kuoa kwa kuangalia uzuri wa mwanamke, utajuta sana

Usije kuoa kwa kuangalia uzuri wa mwanamke, utajuta sana

Brooo ni wewe umeoa au umeolewa???? Mbona kama sio mwanaume???

Na unaonekana unajua kupenda kweri kweriii we kama sio msukuma lazma ni mgosi.

Nampa mkeo wiki moja ajirekebishe, tofauti na hapo njoo pm 😎
Kwakweli dada angu nadhan huyu mwenzio anahitaji msaada, huenda mkipendwa sana mnakua mnamuona mtu mjinga.

Imagine uko mbali unamuuliza mkeo "umekula, uzingatie ratiba ya kula usijeleta vidonda vya tumbo"

Ye anakwanbia " unaona nikiwa na vidonda vya tumbo ntakusumbua? Kua na amani sitakusumbua"

Na maneno hayo kama humhudumii unaweza sema hasira kwakua humhudumii, lakini wamhudumia kila kitu na hata hela yake huulizi.

I think I have to learn the bad boys tricks, ni suala la muda tu.
 
Jamani pole, kwani upo wapi.....
 
s mnaoa ili muweze kuwatambulisha marafiki zenu mmeoa pisi ya kwenda matokeo yake ni vitu vizito, kunae mmoja aliambiwa mbele ya marafiki zake wakiambiwa wanaume watoke mbele na wewe utatoka, kwanza ukiniacha leo sikosi wakuniokota
Hata Mimi niliwahi kuambiwa hivyo ila mpaka sasa yupo single na hajaolewa nilimuambia aache kuringia tako maana akifa inaagwa sura na sio tako
 
Hata Mimi niliwahi kuambiwa hivyo ila mpaka sasa yupo single na hajaolewa nilimuambia aache kuringia tako maana akifa inaagwa sura na sio tako
Sasa hapo umeongea nini? Kwani lazima kuangalia akifa? Tafuta msemo mwengine
 
SI huwa mnasema tabia zinarekebishika,ila awe na tako
My Cousin alioa mwanamke mzuri sana kwa sura, kiportable kwa umbo. Siku moja alimtambulisha kwa Kaka yangu pindi walipokuwa kwenye relationship, Kaka yangu akamsoma akamwambia Cousin, huyu mbona haeleweki, akajibiwa nitamnyoosha mbele safari.

Muda ukafika ndoa ikafungwa, harusi ya kifahari ikafanywa, siku mbili tatu bi harusi akiwa mgeni akaonesha heshima kubwa sana kwa wazazi wa mumewe, akapendwa na kila mtu plus uzuri wake. Wake wa ma Cousin wengine wakaonekana si lolote kwa kupendwa na mama wakwe zao.

Usilolijua ni kama usiku wa kiza, maisha yalipoanza bi harusi akaonesha makucha na tabia yake halisi, my Cousin akaishia kutumwa dukani mbele ya mdogo wake(wifi wa mkewe), vimbwanga vingi vikafuatia.

Huyo mke(bi harusi) akiwa bado mgeni ndoani akawa amerudishwa chuo na mumewe ili akajiendeleze kielimu, akiwa huko Chuo, huku nyumbani mumewe akafungasha virago kwa kumpa talaka na kumuacha.

NB: TABIA NDIO MSINGI WA HULKA YA KILA MTU AWE ME AU KE
 
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa.

Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe hufaidiki wala huna amani.

Yani umelala na mke wako kitanda kimoja, unamtani ila humpati. Kama hujaoa unaweza usiamini ila ndo hivyo.

Pia kuna wanawake ni kama wana kipaji cha kumkasirisha mtu, yaani mtu anakuudhi hadi point ya mwisho.
Ndoa ni fumbo hutakiwi kuapa eti Hadi kifo kiwatenganishe wakati mmekutana ukubwani!!

Huo ni ujinga sana,hutakiwi kuapa kiapo Cha hivyo ,unapaswa uape hadi pale Kila mmoja atakapotosheka na kutaka changamoto mpya!!!

Hiyo husaidia maisha kusonga mbele coz uking'ang'ana kifo ndio suluhisho kuu Kwa wanandoa Tena kifo Cha mapema sana!
 
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa.

Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe hufaidiki wala huna amani.

Yani umelala na mke wako kitanda kimoja, unamtani ila humpati. Kama hujaoa unaweza usiamini ila ndo hivyo.

Pia kuna wanawake ni kama wana kipaji cha kumkasirisha mtu, yaani mtu anakuudhi hadi point ya mwisho.
Nakuelewa Mkuu, na mimi nipo na shetani langu hapa, lina talent ya kunifanya nikasirike muda wote
 
Kila ukikaa chini kupanga mipango ya ndoa lazima ukutane na nyuzi za kutisha humu ndani.

Kuna nini huko ndani ya ndoa wakuu?
Imajini mkeo anakulaan usifanikiwe na mmezaa watoto kisa umeuza magunia 50 ya mpunga wakati kazi yake ilikuwa kuwalipa vibarua na bado umebakiza magunia 250

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Ndoa zimekuwa za kimakalio sana currently, nina jamaa yangu kaoa mwaka jana mrangi, jamaa amekuwa ndezi ndezi kama ile timu Roas kumamoto, nitamlombea mke wake kwa sababu juzi kaweka makopa kopa kwenye picha yangu
Mahondaw na Smart hawamalizi huu mwaka
 
Duuh 🤣
 
MIMI KAMA MIMI AAH WEEE BORA MAJIRANI WAAMKE TU NITALALAMIKA USIKU KUCHA MPAKA NIPEWE KINACHOTUSHINDA AIBU YA KIUME TU
 
Back
Top Bottom