Usije kuoa kwa kuangalia uzuri wa mwanamke, utajuta sana

Usije kuoa kwa kuangalia uzuri wa mwanamke, utajuta sana

Siyo kweli. Wengi wao ni viumbe wapole, wenye roho njema, wakarimu na wasio na makuu. Vimtu vyenye Ph.D za viburi na makasirikio yasiyo hata na sababu ni hivyo vimbaumbau na vifulati skrini vyenu. Makalio yasisingiziwe please!

View attachment 3009801
20231224_095052.jpg
 
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa.

Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe hufaidiki wala huna amani.

Yani umelala na mke wako kitanda kimoja, unamtani ula humpati. Kama hujaoa unaweza usiamini ila ndo hivyo.

Pia kuna wanawake ni kama wanakipaji cha kumkasirisha mtu, yani mtu anakuudhi hadi point ya mwisho.
Hao wa hivyo ni wa shoo za nje tu utakufa kwa stress mkuu.

Huwa tuna oa mwenye utayari na akili iliyopevuka, makalio ukitaka hukosi ni urefu wa kamba yako tu.
 
Mkuu hata kama unampenda huyo mwanamke usijali maneno ya watu mteme tu pambana na maisha wanawake wazuri wapo na wanazaliwa kila siku tulishapitia hayo tunaongea from experience muache ahangaike na dunia ,atazeeka na ataishia kugongwa tu ,mungu wetu ni wa haki jitahidi achana nae utamsahau tu enjoy ur life
 
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa.

Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe hufaidiki wala huna amani.

Yani umelala na mke wako kitanda kimoja, unamtani ula humpati. Kama hujaoa unaweza usiamini ila ndo hivyo.

Pia kuna wanawake ni kama wanakipaji cha kumkasirisha mtu, yani mtu anakuudhi hadi point ya mwisho.

Hii mistari mitatu ya mwisho nimeielewa sana maana ndicho nachopitia mimi na kama unahasira za haraka unaweza hata kumuua mkeo chapu
 
Brooo ni wewe umeoa au umeolewa???? Mbona kama sio mwanaume???

Na unaonekana unajua kupenda kweri kweriii we kama sio msukuma lazma ni mgosi.

Nampa mkeo wiki moja ajirekebishe, tofauti na hapo njoo pm 😎
Tena ukome
Aje wapi?😂
 
Back
Top Bottom