Usije kuoa kwa kuangalia uzuri wa mwanamke, utajuta sana

Usije kuoa kwa kuangalia uzuri wa mwanamke, utajuta sana

Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa.

Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe hufaidiki wala huna amani.

Yani umelala na mke wako kitanda kimoja, unamtani ula humpati. Kama hujaoa unaweza usiamini ila ndo hivyo.

Pia kuna wanawake ni kama wanakipaji cha kumkasirisha mtu, yani mtu anakuudhi hadi point ya mwisho.
Bora nijute ila niiridhishe nafsi yangu
 


Brooo ni wewe umeoa au umeolewa???? Mbona kama sio mwanaume???

Na unaonekana unajua kupenda kweri kweriii we kama sio msukuma lazma ni mgosi.

Nampa mkeo wiki moja ajirekebishe, tofauti na hapo njoo pm 😎
Huyu inabidi umuonjeshe k za nje kwanza ili ampotezee huyo mwanamke anayempa kichomi.
 
Back
Top Bottom