Usije kuoa kwa kuangalia uzuri wa mwanamke, utajuta sana

Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa.

Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe hufaidiki wala huna amani.

Yani umelala na mke wako kitanda kimoja, unamtani ula humpati. Kama hujaoa unaweza usiamini ila ndo hivyo.

Pia kuna wanawake ni kama wanakipaji cha kumkasirisha mtu, yani mtu anakuudhi hadi point ya mwisho.
umelima miwa kwenye shamba la barabarani
 
Kama ndiye wewe uliyepatwa na masaibu kabila hiyo, basi ni utafiti wa kweli wenye kustahili kuungwa mkono.

Ujue nini, majumba yanaficha mengi ya kustaajabisha, kushangaza na kuumiza sana nafsi.

Ulivyosema... 'Mtoto anang'aa shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa... yaani utaambulia sifa za watu tu kuwa mke wako mzuri ila wewe hufaidiki wala huna amani"...

Hayo ni maneno yanayotoka katika kinywa cha mtu mwenye busara timilifu.

Wahenga walisema: 'kizuri hakikosi kasoro'.

Wanawake wengi wazuri wanaozea kwenye najumba ya baba zao kutokana na kuwa wana kasoro nyingi za maumbile na tabia, kuwafanya wasibebeke.

Wanaume wanawaonja na kusepa wakiogopa kujiingiza kwenye matatizo yanayoweza kuepukika, ndivyo kama ulivyoeleza wewe kwenye topic hii.
 
Pia kuna wanawake ni kama wanakipaji cha kumkasirisha mtu, yani mtu anakuudhi hadi point ya mwisho.

Hi inawezekanaje ?
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa.

Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe hufaidiki wala huna amani.

Yani umelala na mke wako kitanda kimoja, unamtani ula humpati. Kama hujaoa unaweza usiamini ila ndo hivyo.

Pia kuna wanawake ni kama wanakipaji cha kumkasirisha mtu, yani mtu anakuudhi hadi point ya mwisho.
 
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa.

Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe hufaidiki wala huna amani.

Yani umelala na mke wako kitanda kimoja, unamtani ula humpati. Kama hujaoa unaweza usiamini ila ndo hivyo.

Pia kuna wanawake ni kama wanakipaji cha kumkasirisha mtu, yani mtu anakuudhi hadi point ya mwisho.
Akibana mzigo na wewe bana Hela... Tena zibane mfano wa cubrator kwenye petrol...
 
Back
Top Bottom