Usije kuoa kwa kuangalia uzuri wa mwanamke, utajuta sana

Starehe tunazopigania wanadamu ni za muda tu mfn ukinunua simu nzuri baada ya muda unaanza kuiona ya kawaida, gari, nyumba, mavazi classic vyote hivi unapovipata unahisi umemaliza na unakuwa na furaha sana ila baada ya muda mfupi wa kuvitumia unaanza kuona ni vya kawaida sana

Hata ndoa pia. Mwanamke mzuri kabisa kwa hadhi ya kidunia ukishaanza kuishi nae unaanza kumuona wa kawaida sana. Sasa ikitokea matarajio yako juu yake yanashindwa kutimia aisee hisia juu yake zinaanza kukutoroka. Unakuta yuko uchi mbele yako ila hata hushtuki unless uanze kujiwazia maupuuzi yako ndiyo unapata hisia za kusex tena. Ajabu upuuzi wenyewe unaouwaza labda unamuwaza x wako au pisi nyingine kabisa....

Ndoa na mtu asiye sahihi ni mzigo kwa wengi... Kuta za nyumba zetu zina siri nyingi sana

Wanaume tuna mengi ila hatuna platform za kutoa vilio vyetu ndiyo maana tunakufa sana
 
Kweli kabisa
 
s mnaoa ili muweze kuwatambulisha marafiki zenu mmeoa pisi ya kwenda matokeo yake ni vitu vizito, kunae mmoja aliambiwa mbele ya marafiki zake wakiambiwa wanaume watoke mbele na wewe utatoka, kwanza ukiniacha leo sikosi wakuniokota
Mi' narusha ngumi sikubali
 
unaweza kuoa mtu ambaye hujampenda??, nyie ndo mnaoa halafu michepuko 20 nje kwasbb cha ndan umekifanya kuwa kiwanda cha watoto

sorry
 
Pole sana
 
The best comment ever to come to my eyes
Good reminder for all bros.
These bitches trynna grind the bread winners till when?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ