Usijenge nyumba kwenye mpaka ni kosa kisheria

Lakini hata wao wakati wakifanya upumbavu wao walijiona wajanja kama wewe, isije nawewe siku yako ikafika!.
Kuna mahali nimesema mimi ni mjanja? Yaani mtu aje na upumbavu wake wa kujenga mwisho wa kiwanja halafu ategemee mimi niweke ukuta ndani ya eneo lamgu kisa ujirani . I don't give a fck.
 
Kuna mahali nimesema mimi ni mjanja? Yaani mtu aje na upumbavu wake wa kujenga mwisho wa kiwanja halafu ategemee mimi niweke ukuta ndani ya eneo lamgu kisa ujirani . I don't give a fck.
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…